Jamani hili tatizo linanisumbua

Jamani hili tatizo linanisumbua

tumiakichwa

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
44
Reaction score
10
wadau habarini!
jamani mwenzenu nina tatzo moja nikitokea kumpenda bint huwa nampenda sana na hufkia hatua ya hata yy kujua hisia zangu sana,na kngne naomb mnisaidie hl jambo kuwa nikimwambia nampenda huwa anajibu asante na hajawah kuniambia ananipenda pia.nikiendelea kusisitza hsia zangu huwa ananiambia ana mtu then nyie wanaume ni waongo wakubwa bab 1 mama 1, na nikiamuaga kumpotezea then nikaja kuwasiliana naye mara mojamoja huwa anakuwa na mwitikio unaotia moyo sana ila nikiwasiliana naye frequently huwa kama anaboreka na mawasiliano yanakuwa tena ovyo, na nimemkatia tamaa had sasa na nikamwambia had sasa nimekuelewa ucjar akasema asante.

karibuni ndugu zangu si mnajua mahusiano ni upofu!!!
 
Weka umri wake na wako kwanza.then nitakujuza cha kufanya
 
Mbona kama unamuongelea dem mmoja tu,jaribu wengine kama watatu then uje utupe majibu.
 
Ndivyo tulivyo....weng wao wamechoka neno kupenda,maana wengi wanaume wanatumia hlo neno na hawajui maana yake zaidi ya utapel,so jaribu kujua hstoria ya mapenz ya huyo msichana huez jua kua alitendwa sana na ndo maana ana majbu ya mkato,#okbye
 
wadau habarini!
jamani mwenzenu nina tatzo moja nikitokea kumpenda bint huwa nampenda
sana na hufkia hatua ya hata yy kujua hisia zangu sana,na kngne naomb
mnisaidie hl jambo kuwa nikimwambia nampenda huwa anajibu asante na
hajawah kuniambia ananipenda pia.nikiendelea kusisitza hsia zangu huwa
ananiambia ana mtu then nyie wanaume ni waongo wakubwa bab 1 mama 1, na
nikiamuaga kumpotezea then nikaja kuwasiliana naye mara mojamoja huwa
anakuwa na mwitikio unaotia moyo sana ila nikiwasiliana naye frequently
huwa kama anaboreka na mawasiliano yanakuwa tena ovyo, na nimemkatia
tamaa had sasa na nikamwambia had sasa nimekuelewa ucjar akasema asante.

karibuni ndugu zangu si mnajua mahusiano ni upofu!!!

pole kwa hayo yote, tatizo litakua kwenye namna ya kujieleza kwa binti,pia inaonesha unamfuatilia mmoja tu,ukikataliwa na binti achana nae wapo wengi
 
Kwani nani kakukaririsha kuwa ukimwambia demu kuwa unampenda ni lazima akujibu kuwa anakupenda....!

Nani kakuaminisha kuwa ni lazima upendwe pale unapopenda?
 
Una tatizo la kujielezea, ndio maana hata wasichana unaotongoza hawakuelewi.

shda ya huyu ni kwamba hapend kunipa nafas ya kukutana ana kwa ana ndpo inapokuwa problem na huwa anajibu kwa maringo na mashauzi sana.
 
Ndivyo tulivyo....weng wao wamechoka neno kupenda,maana wengi wanaume wanatumia hlo neno na hawajui maana yake zaidi ya utapel,so jaribu kujua hstoria ya mapenz ya huyo msichana huez jua kua alitendwa sana na ndo maana ana majbu ya mkato,#okbye

ahsante charty!
 
Kwani nani kakukaririsha kuwa ukimwambia demu kuwa unampenda ni lazima akujibu kuwa anakupenda....!

Nani kakuaminisha kuwa ni lazima upendwe pale unapopenda?

ni kwel msweet nakubal si kila unapopenda na yey akupend lakn bint mwenye hisia anafahamika,mfano huyu bint ktk maongez naye alweza kunijibu "sawa" pale nlpoendelea kumwambia nakupenda,sas nlpotaka kufaham zaid muitikio wa sawa kwa maana gan negative au positive akasema yeye hajui cha positive au negative akaniulza kwan nlkuwa nataka jbu gan,na klcho zaid ya yote tu alponiambia kuwa wenzako wanafuatilia had miaka 3 sembuse ww miez 4 hyo unachoka
 
wadau habarini!
jamani mwenzenu nina tatzo moja nikitokea kumpenda bint huwa nampenda sana na hufkia hatua ya hata yy kujua hisia zangu sana,na kngne naomb mnisaidie hl jambo kuwa nikimwambia nampenda huwa anajibu asante na hajawah kuniambia ananipenda pia.nikiendelea kusisitza hsia zangu huwa ananiambia ana mtu then nyie wanaume ni waongo wakubwa bab 1 mama 1, na nikiamuaga kumpotezea then nikaja kuwasiliana naye mara mojamoja huwa anakuwa na mwitikio unaotia moyo sana ila nikiwasiliana naye frequently huwa kama anaboreka na mawasiliano yanakuwa tena ovyo, na nimemkatia tamaa had sasa na nikamwambia had sasa nimekuelewa ucjar akasema asante.

karibuni ndugu zangu si mnajua mahusiano ni upofu!!!

Uzoefu wako ni mdogo.mimi nimewagegeda 360 na leo naowa inatakiwa upate uzoefu kama wangu itakuepushia maswali madogo madogo kama haya unayoyauliza.
 
ni kwel msweet nakubal si kila unapopenda na yey akupend lakn bint mwenye hisia anafahamika,mfano huyu bint ktk maongez naye alweza kunijibu "sawa" pale nlpoendelea kumwambia nakupenda,sas nlpotaka kufaham zaid muitikio wa sawa kwa maana gan negative au positive akasema yeye hajui cha positive au negative akaniulza kwan nlkuwa nataka jbu gan,na klcho zaid ya yote tu alponiambia kuwa wenzako wanafuatilia had miaka 3 sembuse ww miez 4 hyo unachoka

Mpe muda wa kudigest yooote hayo ulilyomweleza. Wala usimlazimishe akujibu unachokata wewe. Au na wewe una haraka haraka.
 
We jamaa hujajua 2 yaani huyo dada hakupendi ila inaonesha kuna vitu huwa unampa ndi maana hataki sema hakupendi coz akikwambia utasitisha vihuduma na ndo maana ukipotezea na ukija rudi tena anakushadadia soo huo ndo ukweli. Na mi nnachoamini kama angekupenda swaga z nothing angefall tena mara mbili zaidi ya umpendavyo.
 
Una tatizo la kujielezea, ndio maana hata wasichana unaotongoza hawakuelewi.

Well noted Konnie...

Wavulana huwa wanadhani kutongoza ni kama kusoma hotuba ya mahafali kwa wahitimu...

Hawajui hii kitu ni process ndefu na wakati mwingine unaweza ng'oa binti bila hata kuzungumza lolote...
 
Mpe muda wa kudigest yooote hayo ulilyomweleza. Wala usimlazimishe akujibu unachokata wewe. Au na wewe una haraka haraka.

Kudigest?

Mnapodiggest huwa mnatumia na nyongo pia?
 
Uzoefu wako ni mdogo.mimi nimewagegeda 360 na leo naowa inatakiwa upate uzoefu kama wangu itakuepushia maswali madogo madogo kama haya unayoyauliza.

mkuu 360 wote hawa,huyo unayetaka kumuoa utaridhka naye kweli si ndo mwanzo wa mtandao huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom