Jamani hili sio la kudharau kabisa, ebu tufahamishane

Ukija ukweli uongo hujitenga,kama sumu ndio iliyomuuwa angekufa pale pale,na pia kama angekuwa si mtume,asingegundua kama nyama ina sumu.Aligunduwa na kuwaambiya wengine kama nyama ina sumu.

Mwisho wa siku mashuhuda si chini ya watatu wanasema alikufa kwa sumu., kama wanadanganya.., basi mi sina ubishi tena na wewe.
 
Haya maelezo sio Quran,ni maelezo,ambayo ni mapokeo ya watu waliosema kasema hivyo.
Toa aya ndani ya Quran inayosema kafa au alipokuwa akiumwa akafa kwa sumu.
Akili zinazogota mapema namna hii ndio zilimtia lawamani Dk. Ndalichako.

Mtunzi wa tamthilia ya jua kuzama kwenye tope ni yeye Marehemu Muhamad, sasa iweje utake habari za kifo chake mwenyewe ziandikwe kwenye kitabu alichotunga mwenyewe?

Ni ujinga usio na kipimo
 
Mtume Muhammad,alikuwa hajui kusoma wala kuandika,itakuwaje useme alikiandika mwenyewe.
Quran 48-49
Na hukuwa mwenye kusoma kitabu chochote kabla ya hiki,wala hukukiandika kwa mkono wako wa kuume,ingekuwa hivyo ,wangefanya shaka wale wanaotaka kubadilisha haki.
 
Hata kama kililetwa kwake.., angewezaja kupewa kitabu kinachoelezea historia ya kifo chake kabla hajafa..??! hapa ndio umuhimu wa hadith unapokuja. Punguani mkubwa wewe..
 
Punguwani ni wewe unayeambiwa sumu ya kula imuuwe mtu baada ya miaka minne,na wewe ukaamini.Wakati kuna aliyekula akafa hapo hapo.
 
SO WHAT??! Inamaana huwezi kujumlisha moja na moja ukapata mbili..? it means Muhammad alikuwa mtume wa uongo na ndio maana utabiri wa kufa kwa sumu ukamfika..!, halikadhalika allah hakuwa Mungu wa kweli..!
mtume ni nabii wa kutoka jerusalem tangu lini?.
 
Punguwani ni wewe unayeambiwa sumu ya kula imuuwe mtu baada ya miaka minne,na wewe ukaamini.Wakati kuna aliyekula akafa hapo hapo.

Kwenye hizo Hadith.., kuna mahali walipotaja miaka..? Kwanza ulisema mitatu sasa unasema minne.., kumbe unatunga tu..
 
Yeremiah 23:15.
=basi bwana wa majeshi asema hivi,katika habari ya manabii,tazama,nitawalisha pakanga,nitawanywesha maji ya uchungu,KWA KUWA KUTOKA KWA MANABII HAO WA JERUSALEM KUKUFURU KUMEINGIA NCHI YOTE.

Huu unabii umesema wazi wanaosemwa hapa ni manabii wa jerusalem.
 
maji ya uchungu ni sumu inayoweza kuua..., hahahahah..., tafsiri potofu hii..!
 
Alienda kutafuta nini kule Jerusalem..?
ha ha ha,we jamaa we,acha kuspin vifungu bana,bible inasema wazi imeongelea manabii sio nabii.

Mbaya zaidi imesema wazi ,manabii wa jerusalem..tangu lini mtume akatokea jerusalem?
 
Yeremiah 23:15.
=basi bwana wa majeshi asema hivi,katika habari ya manabii,tazama,nitawalisha pakanga,nitawanywesha maji ya uchungu,KWA KUWA KUTOKA KWA MANABII HAO WA JERUSALEM KUKUFURU KUMEINGIA NCHI YOTE.

Huu unabii umesema wazi wanaosemwa hapa ni manabii wa jerusalem.

Adhabu ya Mungu haina mipaka.., hata kama ukijichimbia mecca..,lol..!
 
Huyo ni marehemu.., alikufa kwa sumu tu.., mashuhuda si ndo wamesema .., we ulikuwepo..
haya ngoja tukuridhishe,tufanye iko hivyo,wewe nabii wako amekufa kwa kichapo cha mbwa mwizi,get it?
 
Back
Top Bottom