Habari zenu wataalamu, mimi ni kijana wa miaka 26 hivi karibuni nashangaa nikienda kujisaidia haja kubwa natokwa na manii, je hili ni tatizo?
hii sikuwahi kujua hapo awali....Ckeki vidonda vya tumbo kwanza
Hata sina vidonda mkuuCkeki vidonda vya tumbo kwanza
maswali mengine hayaKwa hiyo unapata utamu?
Hajasema akilala usiku anaota ndoto gani?Pengine popobawa ashampitia so ndio katika kutoa taarifa.Sasa naona kama anataka kukosea hv maana taarifa inabidi aitoe vizuri sio kiujanja ujanja namna hii.Labda kama anafurahia kuchimbwa choo na popobawa,ataendelea kutoka manii na akichelewa ataleta uzi wa kuanza kula embe mbichi mixer kupenda ugwadu mtoto wa kiume....Choo chetu kiko salama kwel
punguza utani unaolekea kune ukweli mkuu nilikuwepo...Hajasema akilala usiku anaota ndoto gani?Pengine popobawa ashampitia so ndio katika kutoa taarifa.Sasa naona kama anataka kukosea hv maana taarifa inabidi aitoe vizuri sio kiujanja ujanja namna hii.Labda kama anafurahia kuchimbwa choo na popobawa,ataendelea kutoka manii na akichelewa ataleta uzi wa kuanza kula embe mbichi mixer kupenda ugwadu mtoto wa kiume....
Acha kabisa maana naona kijana anataka kumletea ujanja ujanja Popobawa,hapendi ujinga Mr Popo labda kama anafurahia Mr Popo kufanya kazi yake.Afute uzi alete uzi wa kukubali kugegedwa na Mr Popo,hatoona tena manii.....punguza utani unaolekea kune ukweli mkuu nilikuwepo...
Hivyo vya kula Acid ni vp hivyoIla small amount of mucus sio tatizo ni normal ila kama ninkwa kiasi kikubwa inaweza kua candida au inflammations ktk GIT nenda hospital kafanye organic acids test pamoja na Gi effect tool test....... Na pia punguza kula acidic food sana maana zinasababisha mucus secretions kuwa kubwa
Ni hayo tu mkuu
Balaaa hili sasa, Lakini Uzi huu pasua kichwaHajasema akilala usiku anaota ndoto gani?Pengine popobawa ashampitia so ndio katika kutoa taarifa.Sasa naona kama anataka kukosea hv maana taarifa inabidi aitoe vizuri sio kiujanja ujanja namna hii.Labda kama anafurahia kuchimbwa choo na popobawa,ataendelea kutoka manii na akichelewa ataleta uzi wa kuanza kula embe mbichi mixer kupenda ugwadu mtoto wa kiume....
hii huwa inatokea pale unapokuwa hujafanya mapenzi siku nyingi unapojisaidia kabla mkojo haujatoka zinatoka mani kidogo kisha mkojo,!!Habari zenu wataalamu, mimi ni kijana wa miaka 26 hivi karibuni nashangaa nikienda kujisaidia haja kubwa natokwa na manii, je hili ni tatizo?
Maharagwe viazi vitamu nyama samaki darker sodaz na vyakula unavyojua wewe vina plotiniHivyo vya kula Acid ni vp hivyo