Jamani hili ni tatizo?

solanum

Senior Member
Jul 28, 2015
177
225
Habari zenu wataalamu, mimi ni kijana wa miaka 26 hivi karibuni nashangaa nikienda kujisaidia haja kubwa natokwa na manii, je hili ni tatizo?
 
Innocenthezron

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
396
500
Daaaaah jamani manii kwenye haja kubwa??? Bora ungesema hata haja ndogo aiseee...... Af ww umejuaje kama ni manii?? Labda ni juc mucus inatoka na linaweza kua tatizo la mfumo wa utumbo na tumbo kwa ujumla hasa maambukizi ya bacteria anyway nenda hospital ukacheki mkuu
 
Innocenthezron

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
396
500
Ila small amount of mucus sio tatizo ni normal ila kama ninkwa kiasi kikubwa inaweza kua candida au inflammations ktk GIT nenda hospital kafanye organic acids test pamoja na Gi effect tool test....... Na pia punguza kula acidic food sana maana zinasababisha mucus secretions kuwa kubwa

Ni hayo tu mkuu
 
Malaika-Hakika

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
237
250
Choo chetu kiko salama kwel
Hajasema akilala usiku anaota ndoto gani?Pengine popobawa ashampitia so ndio katika kutoa taarifa.Sasa naona kama anataka kukosea hv maana taarifa inabidi aitoe vizuri sio kiujanja ujanja namna hii.Labda kama anafurahia kuchimbwa choo na popobawa,ataendelea kutoka manii na akichelewa ataleta uzi wa kuanza kula embe mbichi mixer kupenda ugwadu mtoto wa kiume....
 
scorpio me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
5,722
2,000

punguza utani unaolekea kune ukweli mkuu nilikuwepo...
 
Malaika-Hakika

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
237
250
punguza utani unaolekea kune ukweli mkuu nilikuwepo...
Acha kabisa maana naona kijana anataka kumletea ujanja ujanja Popobawa,hapendi ujinga Mr Popo labda kama anafurahia Mr Popo kufanya kazi yake.Afute uzi alete uzi wa kukubali kugegedwa na Mr Popo,hatoona tena manii.....
 
maalimu shewedy

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
860
1,000
Ila small amount of mucus sio tatizo ni normal ila kama ninkwa kiasi kikubwa inaweza kua candida au inflammations ktk GIT nenda hospital kafanye organic acids test pamoja na Gi effect tool test....... Na pia punguza kula acidic food sana maana zinasababisha mucus secretions kuwa kubwa

Ni hayo tu mkuu
Hivyo vya kula Acid ni vp hivyo
 
maalimu shewedy

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
860
1,000
Hajasema akilala usiku anaota ndoto gani?Pengine popobawa ashampitia so ndio katika kutoa taarifa.Sasa naona kama anataka kukosea hv maana taarifa inabidi aitoe vizuri sio kiujanja ujanja namna hii.Labda kama anafurahia kuchimbwa choo na popobawa,ataendelea kutoka manii na akichelewa ataleta uzi wa kuanza kula embe mbichi mixer kupenda ugwadu mtoto wa kiume....
Balaaa hili sasa, Lakini Uzi huu pasua kichwa
 
KAMINYINGE

Member
Mar 8, 2013
64
95
Habari zenu wataalamu, mimi ni kijana wa miaka 26 hivi karibuni nashangaa nikienda kujisaidia haja kubwa natokwa na manii, je hili ni tatizo?
hii huwa inatokea pale unapokuwa hujafanya mapenzi siku nyingi unapojisaidia kabla mkojo haujatoka zinatoka mani kidogo kisha mkojo,!!
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,919
2,000
utakuwa umekaa na nyege mda mrefu..... ukijikamua yawezekana ndiyo zinatoka ............. nenda kacheki kama unawasi wasi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom