Jamani hii sio Logo ya Vodacom?

Jamani hii sio Logo ya Vodacom?

Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Posts
4,725
Reaction score
2,607
KASEJA.jpg
Jamani hii si Logo ya Voda? Manake angekuwa mzee Akilimali mngesimamia vidole gumba na kumtolea matusi, sasa kumbe zipo logo nyingi za voda mpaka za grey na wanafiki wote mtajua Yanga was right na inawezekana.
 
Nime attach tena picha ya kaseja, jezi yake ya juzi ilikuwa na logo ya Grey, wakati tielfu elfu walisema asiyevaa logo red and white kama mkataba atatozwa fine
 
Back
Top Bottom