Janga la taifa hili na ndiyo maana kila baada ya nyumba kumi Dar utakuta kuna wasanii wa bongo fleva na video vixen (wengine hawana hata maziwa, wanakata mauno mtaani) ndiyo maana muziki wao unakosa hata ubora maana hakuna wabunifu, wao ni kukopi tu na kupaste.