Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
hivi mpaka leo hii bad owatu wanawavalisha watoto hirizi pamoja na maendeleo ya Ki-teknolojia!Hirizi mkononi ni kuendekeza uchawi
Mbona huyo mtoto ana hirizi mkononi?itakuwa baba ana imani za kishirikina!
Aise dada zetu kuweni makini katika pitapita zenu maana mwisho ya yote unakosa mtoto ile hali uko ndani ya ndoa
Asiye na dhambi na aanze kumpiga mawe....
kama na ww ni walewale waliotoa mimba pole sana.
mithali zako peleka kwenye bible
Heri walio masikini wa roho, maana ufalme wa mbinguni ni wao
Hey go pee and sleep, I have no time to urge with lowly minded douchebag like you!unaujua umaskini wa roho wewe?