Jamani hii ni sawa

Halima james

Member
Jun 3, 2013
32
3
Wadau naomba kusaidiwa eti kwa sisi 2lomaliza diploma mpk uwe na gpa ngapi ndio unaweza kujiung mzumbe cz mm nna 3.2 na nataka kujiung economics ya mzumbe bj diploma nimesoma f.a in accounting je linawezekana? 2pieni hoja samahan wakubwa.
 
Back
Top Bottom