Jamani hii ni kweli!?

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Wadau kwa nchi ya Iran ninavyoifahamu hii kama kweli ilitoke, huyo mama hapo alipewa adhabu gani?
 

Attachments

  • Nejad.jpg
    Nejad.jpg
    22.5 KB · Views: 247
Jamani huko kwao ni salamu tu...!
Ni cultural differences huku kwetu iko kimatusi zaidi..
 
Wadau kwa nchi ya Iran ninavyoifahamu hii kama kweli ilitoke, huyo mama hapo alipewa adhabu gani?

Kule iran kuonyesha kidole cha kati namna hiyo si matusi bali ni sifa kuwa jamaa ni dume la mbegu!!!
 
Nadhani ni kichapo kwenda mbele ila best ichunguze vizuri imepachikwa hiyo ningekuletea ile ya Obama na Mama Clinton ungeweza amini kuwa ni kweli but dhamiri yangu hainiruhusu kudownload na kutuma picha za namna hiyo!!
 
alikuwa anamsifia tu. huko kwao matusi ni pale unapoonyesha vidole viwili kama kwenye bendera ya chadema
 
Back
Top Bottom