Aisatu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 784
- 335
kwani wewe ulishawahi kusikia mtu akichukua shawaha anaenda kuzifanyia nini........?
Anaenda kujitia kibendi anataka kuzaa na wewe huyo
Pia nafikiri ivo
kwani wewe ulishawahi kusikia mtu akichukua shawaha anaenda kuzifanyia nini........?
Anaenda kujitia kibendi anataka kuzaa na wewe huyo
au agegedwe
Subiri kulogwa,na muda c mrefu utatangaza nia.
Anaenda kupakaa usoni.
zinatoa chunusi