Nikumbushe jina la movie
Eeennhh si umejifanya mjanja wewe hujazimwagi kwenye mpunyenye wake....
Sasa kazipeleka kwa fundi kukufanyia dawa zifuatazo....
1. Kukuibia watoto
2. Kuchukua nyota yako
3. Kukufanya mtumwa wake kingono
Mwishoni jiandae kuwa na gegedo lililopwelepweta kama koa la kondoo
Usiwe unafanya hivi jamani yani mtu kaja kuomba kiberiti tu na nguo unamvulia, sasa akija mwingine na mwingine kuomba chumvi si balaa