Jamani hii ni kali

Jamani hii ni kali

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,806
Reaction score
2,349
Wanajamvi habari ya asubuhi,

Yamenikuta mwenzenu kuna mwanamke moja jirani yangu sasa tunaheshimiana sana tu kumbe yeye ananitaka siku nyingi mimi sikujua juzi kaja kwangu jioni kuomba kibiriti ikumbukwe kwamba umeme ulikatwa na Tanesco kama kawaida yao.

Basi kumkaribisha ndani kanirukia shingoni huku analia eti hata hukuweza kutambua ishara jirani. dah! nilipata mshtuko mkali nini hii na unavyojua wanaume si wengine mabishi kidogo nikamwambia poa ila akagoma kabisa akaanza kunishikashika mwisho tukazama kazini, ila nilikuwa mwangalifu sana nikatumia kondom cha kushangaza akawa akawa ananilamisha tufanye kavu mimi nikagoma kabisa.

Mwisho wa kazi mimi nikatupa ile kondom ya shahawa chini wakati anaondoka sikuwa makini sana kumbe kachukua ile yenye shahawa nimechanganyikiwa hapa nawaza ameenda kufanyia nini? nifanye nini wadau mana sijawahi kukumbana balaa kama hii.
 
shahawa si zake???
sasa unazani atazifanyaje shahawa zake
 
kwani wewe ulishawahi kusikia mtu akichukua shawaha anaenda kuzifanyia nini........?
 
we we ulitaka shawaha zitoke kwenye ndom ziingie Kwenye Mpunyeny wako?

kwan Kwa kawaida shawaha sinaenda kwenye filopian tube zao? wee unafilopian?
 
kwani wewe ulishawahi kusikia mtu akichukua shawaha anaenda kuzifanyia nini........?

mim bwana sijasikia kiukweli jambo hili nimeona geni kwangu na kilichofanya niulize alitaka sana kavu sasa sijajua alitaka nimpe mimba sijajua
 
Subiri kulogwa,na muda c mrefu utatangaza nia.
 
Anaenda kujitia kibendi anataka kuzaa na wewe huyo

ataziweka kwenye kijiko, kisha atalala chali mijuu guu atakizamisha kwenye kile kijiko chenye mbegu ndani ya k mithili ya kumlisha mtoto chakula au kumpa uji. Kwa hiyo K itakuwa kama mdomo
 
bwana ww ndio mana tunakuja kuuliza mim huwa natupa mwenyewe kama ni hilo basi haina tabu bwana

Pia usiamini sn hili jukwaa maana wengine wanashauri kwa wivu wengine kwa kukomoa na mambo kama hayo ila pia waweza kumuuliza huyo manziii alichukua kwa ajili ya nn
 
Anaenda kukuloga ..shahawa huwa znatumika kuwateka wanaume..naenda kachukue shahawa zako
 
Duuuuuhhhh yaaani upo kwenye wakati mgumu sana...! Itakubidi usiku uwe unakesha kama cnn koz unaweza ukatembelewa na ukafanyiwa mambo mabaya sana..!
 
Usihofu ndugu siku hizi shahawa dili,anaenda kupaka usoni kuwe soft au kuondoa chunusi usoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom