K Kamuna JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 298 Reaction score 53 Jun 16, 2011 #21 Dogo anaenda kununua penseli!
dibbo Member Joined Feb 18, 2011 Posts 30 Reaction score 1 Jun 16, 2011 #22 Easymutant said: Ningependa sana Dowans walipwe kwa hizi currency ....maana ingekuwa kama milioni sita tu za KTZ Click to expand... Hizo ni 15000 za kibongo
Easymutant said: Ningependa sana Dowans walipwe kwa hizi currency ....maana ingekuwa kama milioni sita tu za KTZ Click to expand... Hizo ni 15000 za kibongo
M mwacheni77 JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 763 Reaction score 210 Jun 16, 2011 #23 Pmj na yote inaeleke hakuna waalifu huko,yaani hakuna wenzi si wangekauwa haka katoto kama ingekuwa bongo manake ni balaa
Pmj na yote inaeleke hakuna waalifu huko,yaani hakuna wenzi si wangekauwa haka katoto kama ingekuwa bongo manake ni balaa
S Sometimes JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 4,536 Reaction score 1,137 Jun 16, 2011 #24 Niliwahi kushuhudia hali kama hii pale Kalemie, DRC ( Zaire) kwenye duka la kuuzia vitenge ambapo malundo ya noti yalikuwa yamepangwa pembeni ya chumba peupe tu bila hata ya ulinzi!
Niliwahi kushuhudia hali kama hii pale Kalemie, DRC ( Zaire) kwenye duka la kuuzia vitenge ambapo malundo ya noti yalikuwa yamepangwa pembeni ya chumba peupe tu bila hata ya ulinzi!
Mabagala JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 1,477 Reaction score 327 Jun 16, 2011 #25 tunakoelekea nahisi tutafika tu! baada ukilinganisha na pesa nyengine, basi pesa yetu inazidi kushuka tu kila mara.
tunakoelekea nahisi tutafika tu! baada ukilinganisha na pesa nyengine, basi pesa yetu inazidi kushuka tu kila mara.