ftilu
Member
- Jul 20, 2012
- 13
- 1
watu wanataka maendeleo wewe unalilia zawadi!
nikupe zawadi kwa kazi ipi uliyofanya? wakati mwingine muwe mnafikria beyond the sky..!
nchi yenyewe sasa hata amani hamna! kazi hamtaki kufanya..!! nchi ambayo ilikuwa katika top10 most peaceful countries, sasa iko nafasi ya 50 kuelekea chini!!
mpaka maendeleo katika individual level yanaletwa kisiasasiasa tu!
Sina shida sana na malalamiko yenu, ila naona mnatumia nguvu sana pasipo na tija (au impact) kuna issue za msingi inatakiwa tuelimishane na sio maamuzi ya Rais kuhusu mapumziko