Jamani hii nchi yetu vipi?

Jamani hii nchi yetu vipi?

Hata Mimi imenikera sana siku mbili Hamna kazi.....kwa nchi maskini kama Tanzania??? Naic wanataman ata wangetoa wik nzima iwe n holiday......hebu tuachen uvivu.maendeleo yanaanza na mtu mmoja mmoja up to national scale kwa iz siku mbil tunapoteza bilions of money cuz of stupidity...
 
Yani sie ni wavivu mpaka kwenye kulinda mali zetu!

Sisi ni wavivu mpaka kwenye kutetea kilicho bora...!

Hivi mlima kilimanjaro uko dodoma ama nairobi?

Hii nchi yetu ina mambo ya kipekee sana. Hakuna nchi inayotaka kuendelea kwa dhati inafanya huu mchezo.

Kama wachumi wetu wengipiga hesabu za athari za kiuchumi kwa hizi siku mbili ingesaidia watu waone hasara gani kwa nchi na mtu mmojamoja anapata.
 
Weraaaa weraaaa.... Kufa kufaana,wengine huku kwetu ni kicheko maana ndio muda mzuri wa kutembelea na kukagua bustani zetu kuangalia kama palizi zimefanywa kwa umakini. TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE

Na mimi naenda kwenye shamba langu sishiki Chaki, Tanzania nakupenda kwa moyo woteeeeeeee!
 
Mwambie kesho ni mapinduzi dhidi ya muungano!

Mwambie tumechoka kuusikia huu muungano kati ya zanzibar na zimbabwe! Tunataka tuuvunje!

Mtot wako atakuelewa sana!
Aisee amenielewa nashukuru sana mkuu....:couch2:
 
Hii ndo nch ye2 bana! ckukuu mbele kaz nyuma mm binafc nimefurahi, maana asb burudan! Kulala naamka kw md wangu!
 
Hii ndo nch ye2 bana! ckukuu mbele kaz nyuma mm binafc nimefurahi, maana asb burudan! Kulala naamka kw md wangu!

pole kwa kuwa sehemu ya underdevelopment....
 
Me naona sawa ili tule bata!

mmmhh...! toka 2011 una post 8?

btw, wengi wameshauzwa kwa khanga na kofia! kwa hiyo lazima washerehekee tu!
 
Mapumziko ya siku moja sidhani kama yana athari yoyote kwa uchumi...

Sekta chache sana za kiuchumi Tanzania zinazotegemea uwepo wa siku za kazi...
 
Watanzania kwa maigizo tu mnastahili tuzo. Siku za kazi mnatoroka hamkai ofisini..... kesho mmeambiwa mpumzike eti mnalalamika....mmmmh... wonders can never end😱
 
Back
Top Bottom