Tz huwajawai kuona ndege ikipita hivyo? Kwenu ni wapi?Binafsi sijawahi kuona hii hali Tz, ila ughaibuni. Si ndege ya abiria au mizigo, nahisi kama sio chombo cha kijeshi, basi pengine ni cha utafiti. Baba yako anaweza kuwa sahihi kuwa ni rocket.
Mkuu hiyo ni ndege sema imepita mbali sana sana international flight at international skyHii nadhani kwa Tanzania kila mtu ameshawahi kuona ikipita angani hasa pasipo kuwa na mawingu. Wakati mdogo, mzee aliniambiaga inaitwa roketi ni jamii ya ndege lakini Africa hamna uwanja wa kutua alafu ikitua humwaga mafuta Kwanza lakini niki-Google sioni story yake kwa anaejua nisaidie.
Antonnov ni Ukraine mzee babaNi kweli urusi ndio ilikuwa ya kwanza kutengeneza rockets za kwenda anga za juu na ndege kubwa kama antonnov,corncord,nk kipindi hiko marekani anasubiri kwenye rockets anga za juu
Concord sio mfaransa mkuu?Ni kweli urusi ndio ilikuwa ya kwanza kutengeneza rockets za kwenda anga za juu na ndege kubwa kama antonnov,corncord,nk kipindi hiko marekani anasubiri kwenye rockets anga za juu
Kivuruge!Hiyo ni ROCKET. Nisikilize mimi
Tulia uelekezwe acha kuruka rukaRocket nasijua mkuu tena vizuri kushinda vizuri kwenyewe..😜
Nilikuwa nataka tu kujua huo Moshi inakuwaje kuwaje.
Sasa hizi habari za cairo na cape town ndio habari tulizoambiwa utotoniKwa uelewa wangu huu mdogo, ila wanaojua zaidi watasema hii ni Ndege Kasi aina ya Concorde ambayo kwa Afrika inatua tu Cairo na Cape Town.
Zipo za mizigoSiku hizi hakuna concorde. Matumizi yake yalishasitizwa kitambo tu
Yes mkuu.. nishati ya jua inagawanyika katika makundi mara ifikapo kwenye uso wa duniaNgoja ngoja twende taratibu jibu na hili inakuwaje hapa duniani tunapata joto kali na huko juu kuwe na baridi kali wakati joto tunalolipata huku ndo linatoka huko..??????