Jamani hii kitu gani?

Du kweli, vyote hivyo vinahamasisha saana. Siku moja nilikula muhindi wa kuchoma, embe fresh na udongo (pemba) kilichofuatia ni .... na alikuwa hayupo ... nikajikuta kwenye boma nyingine ... on replacement capacity. Acha kabisa kitu kilikuwa hakilali.
 
Angalia usije ukakosea kuchangia posti udhamiriavyo, ha ha!!

Kwani hata hiyo post niliyodhamiria kujibu niliikumbuka nadhani presha yote na makeke viliisha nilivyokutana na hii kitu.... Kwa kutuhurumia sie tusio na hatia tunakuomba japo uibadili hata kwa siku mbili tu inatosha.
 
uyoga deal sana
Nzenzu uyoga huu uukute bado mbichi yaani umetoka kuvunwa uupike vizuri kama mboga za majani ukupate kwa wali wenye nazi duh! @mzizimkavu mbona utajjilamba? hilo hindi la kuchoma ulikute iringa au moshi limetoka shamba tu na kuchomwa hjamani acheni.

cha ajbu huku uzaramoni kwa uchu wa nyama hata hindi laliwa kwa ndimu na pilipili lol! eti kutia ladha yaani hindi lawekewa ladha?
 
Last edited by a moderator:
578070_10151540076360063_911152946_n.jpg


huyu ni baniani au?................................ Malizia tena Boflo
acha mambo ya kukumbushana mbeya mkuu hii kitu tamu sana aati!
 
MziziMkavu, hiyo ni murder case; wengine tuna vidonda vya tumbo, tukikosa kinachoamsha makemikali ya tumbo ni balaa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom