haaaaaaaaa umenikumbusha kwetu mbeya unapata kitu fresh toke shambani siyo hapa dar kitu kimekaa siku na siku njiani afu ndo unakipata hata radha hamna.lol
Ala.........kumbe nanihii inaleta kichefuchefu sio? Mbona watu wengine ukiwaudhi wanasema ''usinitie kichefuchefu mie'' je wana maana gani? Kwamba wasitiwe nanihii au?