Jamani hii inawezekana?

Jamani hii inawezekana?

Pole ndugu yangu,Yaani mtu wa aina hiyo ni mkosi mkubwa yaani anakuwa anaua wanaume kama ni mwanamke kama ni mwanaume pia anaua wanawake.

Kwetu tunaita Kifwiro.

Dah nyie ndo source ya kuua albino mnahitaji kutafutwa na kupewa adhabu kwa kosa la kuenea ujinga
 
Pole ndugu yangu,Yaani mtu wa aina hiyo ni mkosi mkubwa yaani anakuwa anaua wanaume kama ni mwanamke kama ni mwanaume pia anaua wanawake.

Kwetu tunaita Kifwiro.
una ushahidi na hili? umekagua wangapi ambao wamefiwa na wake au waume zao kwa sababu hawana nywele sehemu za siri?? ww uliwajuaje? swali la mwisho vipi kwa wanawake wenye ndevu nao hebu toa opinion yako?
 
Kuna mama mmoja kijijini kwetu walidai kuwa naye haoti nywele kama huyo mpenzi wako, basi kila aliyemuoa alikufa kabla ya muda wake, alikuwa na msururu wa wanaume wote wakiwa wamekufa. Katika kabila letu inaaminika ukipata wa hivyo, chimba kaburi lako mapema!
 
Kama utahitaji awe na nywele hiyo sehemu...tuwasiliane nukuuzie wigi la hapo.usijali kuhusu size ni free size kutoka dubai.
 
sijakukatalia lakni sasa hakuna ushahidi wa moja kwa moja manake ni ngumu sana kujua kwamba huyu mtu anafiwa fiwa hovyo na wenzi hana hizi nywele. ingekuwa kipara cha kichwa cha juu mtu waweza kusema jambo.

nijuavyo ni kweli kuna watu ambao kila wakioa ama kuolewa wenzi wao hufariki na ukitaka kujua mtu wa aina hivyo utakuta unapokwenda kuchumbia mmoja wa mzazi ni marehem watoto wa familia waliooa ma kuolewa nao wenzi wao ni marehem pia ama wote ama wachache na kama wewe ndo wa kwanza kuoa kwenye familia inakulazimu kuongeza sample size yako kutoka kwenye familia kwenda kwa ndg kama baba wadogo na wajomba utakuta wengi ni wafiwa na wengine not only once.........

ni jambo la kiroho zaid na ni aina ya pepo la mauti sidhan kama lina ushirika wa moja kwa moja na hizo nywele. ama labda tuseme uwepo wa ilo pepo ni izo nywele kutokuwepo?

Mkuu kama umekaa kusubiri ushahidi wa moja kwa moja ndio unaambiwa ushahidi huo utakuja kutokea umarehemu utakaomkumba mshkaji wetu, yeye atakosa nafasi kuuona ushahidi huo "wa moja kwa moja"

Ni vizuri ukapunguza nahau na kuachana na miubishi isiyo na tija ukamponza mwezio bureee!!!!!

Hata mimi simo najitoa.
 
Back
Top Bottom