gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
Donatila umesema kweli kwa iman ambazo ziko tokea zamani
sijui kama ni kweli kwamba wote ambao wana mikos ya kufiwa na wenzi baso hawana nywele sehem za siri
Imani ipo na imejengeka zaid kwenye mikoa flan flan ivi.
ushauri wangu kwa mleta mada usije ukamwaga kwa sababu hiyo manake pia haiko jusfiable

Last edited by a moderator: