Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,338
- 111,580
Mmmh jamani hata kapicha hakuna!!
namvizia akichojoa tu nimfotoe mwaaaaa....halafu kwa niaba ya mleta mada niitume hapa
Mmmh jamani hata kapicha hakuna!!
namvizia akichojoa tu nimfotoe mwaaaaa....halafu kwa niaba ya mleta mada niitume hapa
Donatila umesema kweli kwa iman ambazo ziko tokea zamani
sijui kama ni kweli kwamba wote ambao wana mikos ya kufiwa na wenzi baso hawana nywele sehem za siri
Imani ipo na imejengeka zaid kwenye mikoa flan flan ivi.
ushauri wangu kwa mleta mada usije ukamwaga kwa sababu hiyo manake pia haiko jusfiable
sasa hapa kuna ssintofahamu, ila mie vipara wengi niwajuavyo huwa pia hawana na nywele za kichwan na wameshapoteza wenzi wao ama mmoja ama wengi.Mmmh! kwahiyo umeunganisha matukio kwasababu watu wanaitwa mzee kipara kafiwa na mkewe basi je hao watu wanaitwa vipara sio kwa vipara vya kichwani? na je mtu akiwa na kipara huku juu kuna uwezakano akawa haoti nywele za sirini?
mbona mnabana ni Mikoa gani hiyo
Pole ndugu yangu,Yaani mtu wa aina hiyo ni mkosi mkubwa yaani anakuwa anaua wanaume kama ni mwanamke kama ni mwanaume pia anaua wanawake.
Kwetu tunaita Kifwiro.
Una hatari wewe....
kifwiro kakicha hena mghothiwe anafwa vangi nikuthova vwala vwena nzinya
naona unataka kuumbua kabila la watu sasa!!!
kifwiro kakicha hena mghothiwe anafwa vangi nikuthova vwala vwena nzinya
Kweli dunia haiishi mambo mapya. Hili nalisikia leo. Upara kwa nonino?
Mbona ni disoder ya kawaida tu...
Kama watu wanatoka upara kichwani kwa nini isiwe hata huko uvunguni?
kifwiro kakicha hena mghothiwe anafwa vangi nikuthova vwala vwena nzinya
mi bado sijalijua jamani hapa ni JF tukikosa hiyo elimu hakuna kwenginetumebana wapi?
wewe jiulize wengi wa waitwao kiparaa wanatokea mikoa ipi?