Jamani!! Haya mapenzi sijawahi kuyaona...!!

Kama umejikatia tamaa na maisha,we kula zako tu hlo tunda la huyo mama.
 
mambo vp jf, bila kupoteza wakati niingie kwenye mada. Kuna mama moja anadai ananipenda sana na mm kimtazamo ni kweli ananipenda kwani kuna mambo mengi amenisaidia katika maisha,huyu mama kila kukicha ananilazimisha nile naye tunda namimi siko tayari kwa sababu nahofia maisha yangu, mama ana hela ndefu sasa cjui nifanyeje jamani! Ushauri tafadhali.
kulaa sasa
 
Duh! Another Ninth Wonder of the World. Ngoja nipate maujuzi
 
mambo vp jf, bila kupoteza wakati niingie kwenye mada. Kuna mama moja anadai ananipenda sana na mm kimtazamo ni kweli ananipenda kwani kuna mambo mengi amenisaidia katika maisha,huyu mama kila kukicha ananilazimisha nile naye tunda namimi siko tayari kwa sababu nahofia maisha yangu, mama ana hela ndefu sasa cjui nifanyeje jamani! Ushauri tafadhali.

Sikushauri kwani mapenzi si pesa. Pia mchukulie ni kama mama yako
 
ww sema tu wataka tukushauri jinsi ya kutumbua hizo hela za madam na sio penzi la mama na tutajuaje hujala tunda hadi sasa loh!
 
Kazi kwako kunyoa au kusuka ushauli usha pata angalia maisha yako kijana familia yako inakutegemea acha tama sio kila kichaka lazima ujisaidie vingine potezea
 
Sikushauri kwani mapenzi si pesa. Pia mchukulie ni kama mama yako

Inawezekana anakupenda kweli bana maana "mapenzi ni sawa na m.a.t.a.k.o ya mwehu hayachagui pa kukaa",si unajua kichaa anakaa popote hata juu ya makaa ya moto mkuu!
 
inaonekana unaabudu sana pesa.....unaweza kuzipata usiwe na amani/furaha mwisho majuto
 
mapenzi bila pesa hamnaga sikuhizi bwana,asikudanganye mtu.
 
ww sema tu wataka tukushauri jinsi ya kutumbua hizo hela za madam na sio penzi la mama na tutajuaje hujala tunda hadi sasa loh!

sio kirahisi kama unavyofikiria,Hangu Hagumu!!!
 
Inawezekana anakupenda kweli bana maana "mapenzi ni sawa na m.a.t.a.k.o ya mwehu hayachagui pa kukaa",si unajua kichaa anakaa popote hata juu ya makaa ya moto mkuu!

umeonaeeh
 
kwani kuwa na mmama kuna tatizo gani?sioni tatizo inamaana ungetakwa na bint ungemkubali sbb hatakuua?au usingekuja kuuliza jf sio?kama umempenda na una wasiwas nae kapimen wote!kuna wenzio wanataka nafas km hyo et wataka kulipiga teke fuko la hela unachekesha.ndo njian ya kutoka kwako kupitia yeye we shangaa tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom