Jamani!! Haya mapenzi sijawahi kuyaona...!!

chunga tamaa mbayaa,tuliza moyo wakooo,raisisha matumiz yakooooo.....rejea 20%,wadhungu wanasema cheap is expensive
 
Ni kweli ,mapenzi haya ulikuwa hujayaona sababu kuu ni kuwa ulikuwa Mtoto ndio unakuwa sasa utayaona mengi, ukisikia unaambiwa kuwa uyaone, sio kuona magorofa yanayojengwa aaaa ni kuyaona mambo ya walimwengu.

mambo vp jf, bila kupoteza wakati niingie kwenye mada. Kuna mama moja anadai ananipenda sana na mm kimtazamo ni kweli ananipenda kwani kuna mambo mengi amenisaidia katika maisha,huyu mama kila kukicha ananilazimisha nile naye tunda namimi siko tayari kwa sababu nahofia maisha yangu, mama ana hela ndefu sasa cjui nifanyeje jamani! Ushauri tafadhali.
 
Inavyoonyesha unampenda huyo mama kwa sababu ya pesa na si vinginevyo.Tafuta vyako usipende kulelewa na majimama na hali una nguvu zako, ukiona vinaelea ujue vimeundwa.
 
Acha kutuzuga, amekusaidia, ana hela ndefu. Je hiyo misaada ulikubali ya nini? Kama amekusaidia wewe unashindwa nini kumsaidia hicho unachotaka. Acha ukongoman kaka, unakula vya watu kubali kuliwa na wewe.
 
sasa uwoga wako ni kwamba hujawahi kuendesha makubwa? We lipulize tu hilo Jimama.Nalog off
 
Inavyoonyesha unampenda huyo mama kwa sababu ya pesa na si vinginevyo.Tafuta vyako usipende kulelewa na majimama na hali una nguvu zako, ukiona vinaelea ujue vimeundwa.

maisha yenyewe magumu hivi mtu ninaelimu yangu lkn hainisaidii kazi zenyewe mpaka uwe mtoto wa mjomba ndio upewe,bora nichukue kilichojileta chenyewe! khaaa.
 
Acha kutuzuga, amekusaidia, ana hela ndefu. Je hiyo misaada ulikubali ya nini? Kama amekusaidia wewe unashindwa nini kumsaidia hicho unachotaka. Acha ukongoman kaka, unakula vya watu kubali kuliwa na wewe.

kwani tatizo liko wapi,naona kama ni moja ya ajira hapa mjini,au wewe unaonaje?
 
Ni kweli ,mapenzi haya ulikuwa hujayaona sababu kuu ni kuwa ulikuwa Mtoto ndio unakuwa sasa utayaona mengi, ukisikia unaambiwa kuwa uyaone, sio kuona magorofa yanayojengwa aaaa ni kuyaona mambo ya walimwengu.

hongera zako wewe uliyekua bwana.
 
MI MI NAONA BORA
bora niwe tu na huyu mama kwani wasichana wa siku hizi wanazingua ile mbaya,mama hana makuu kwanza hana mtoto wa kiume ndio maana anaona bora awe na mimi nimliwaze!!!!
 
kama huna kitu hutamwona msichana anakatiza mbele yako,lkn ukiwa na pesa wanakuja wenyewe bila hata kuwaita,acheni tu nianzishe mahusiano na huyu mama kwani ndio msaada wangu!!!
 
Kwako unaona pesa ndyo kila kitu eti! Mtazamo finyu.

Kwa taarifa yako, uhai wako unathamani kuliko pesa. Acha tamaa au umesahau kuwa "tamaa mbele mauti nyuma"
 
Back
Top Bottom