Jamani!! Haya mapenzi sijawahi kuyaona...!!

Nenda naye Mwangaza usimnyanyapae bure mkapime mjue hali ya Afya zenu kabla yya lolote. Ukipima sikia kengele. Unataka kumuoa au unataka pesa? Kwako ngono ni ajira yenye mshahara kiasi gani kwa mwezi?
mkuu besa nazitamani,bila mkwanja no life men! Hofu yangu ni kwamba si ajabu ana ngoma aniulie mbali mtoto wa mwenzie!!!
 
Fursa iyo itumie. Kula nae atakacho, mpe masharti na vigezo wkt wa kula. Km hutaki nitupie contacts zake
 
Back
Top Bottom