Jamani, have been surprised with my long term habibi

na anamshiko kama yeye walahi
Hapa ndio pamuhimu, Hebu kapuku mimi nijitulize zangu!

Jini huyo we chekelea tu,shyombeshyombe gani tokea JF

we nakwambia Unaolewa na JINI badala uje PM yangu M'bongo mwenzio

unaenda tunuku majini,utanikumbuka nakwambia Handsome Jini huyo,Muache njoo am single with no mshiko.
 
make kwanza hapa nichekeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakunyw chai hapa nayo naona inanicheka🀣🀣

mchaga tangu lini akawa fundi kitandani
Hakuna ufundi zaidi ya kuiangukia 😬😬😬

msichokijua huwa napewa kwa huruma tu. Wanawake wote wanaonipa wananihurumia tu nikilalamika sana😍
 
Hahaaa Sasa tutakula Nini??
 
Halafu huu uzi ni chai tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utoto raha sana. Kabla sijajiita German Machine nilishawah jiita Virus[emoji1787][emoji1787]

peaceful lady mbona jina zuri sana. Ulikuw ukiandika barua mwishon unajiandika peaceful lady[emoji3]
[emoji38][emoji38][emoji38]hapo kwenye virus umetisha gily
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…