Sio mwanamke mkuuu ni dume hiloHili ni kosa kubwa sana kwa Wanawake wa Ki-Tanzania...bila shaka huwa wanadanganyana kwenye Ma-Group yao ya WhatsApp...Na huwa wanaamini wanaume wote wanazo pesa.....watakunulia gari, viwanja na Nyumba. Sijui kuna Mwalimu gani huko..Kweli Maisha ni Magumu.
π§βπΎπ§βπΎπ§βπΎπ§βπΎπ§βπΎπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έ
ππππππ§βπΎπ§βπΎπ§βπΎπ§βπΎπ§βπΎ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πHili swala mtoto wa kiume unaanza kuambia mwanamke. Babu mjerumani , bibi muamerica mama ndio mtz. NALO LIKAANGALIWE.
Au nakosea ndugu zangu?
π―π―π―π―π―π―π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π
πΏπΏπΏπΏπΏπ―π―π―π―π―π―
Hakikisha mnapima HIV....usijesema sinakwambiaNimekaa tu zangu home nilikuwa nimechill home basi nikaona simu nipo maeneo yenu , nikasema powa , nani jamani yule Mtu tumuite shado , humu Kuna siku Mtu alikuwa ananidis sana nawengine wakaniita Malaya , before mengine , kumbe mmenipamba sio mmenichafua.
Ilikuwa surprised sana KUONA kijana anasema ni PM nikasema ni wale wale tu nikavunga ila mwaka huu nikasema why not ngoja ni mpe tu nafasi mwana,nikamtext after 1 week akadai naomba namba ya simu , [emoji39][emoji2957] nikampa , .
Almost 1 week akaja akanitext upo sehemu powa nikajibu ndio , akaanza kunicall sikupick maana nilikuwa nipo busy na kupika maandazi , HUMU JF sijawahi kupata mwanaume so unique, kind , special na anamshiko kama yeye walahi , na jingine nimeongea truth tu kuwa Hana demu na haingiagi humu mara Kwa mara na nimekaa naye tufew days charting, kweli Kuna msemo , mmoja ukitaka kitu lazima ukiget , mwana majuzi idd kaja home kwetu around 1pm saa Saba akatua kwetu sio stendi nje ya nyumba yetu nilimueleza mengi nakumpa direction sijawahi mvulia sidiria Wala Pichu but wewe ni amazing , mtoto sio mtanzania mtoto ni half american plus German bibi ni mgermany Babu muamerica , mama yake mtz weeh , bonge la handsome boy sio baunsa Wala ni tall kiasi, mweupe , na nimwembamba kaja kwetu kaulizia mama , saivi ninavyokuambia katoa kishikizo uchumba next week ndio atakuja rasmi akitoka porini tukae nimfahamu ila kasema anakuja home au mahali popote niwe na ndugu yangu au mama , .
Ili visitendeke maajabu , aoe kitu hakijui akija nitashukuru sana walahi , kaniachia mzigo wa Mimi kuenjoy ,Sasa mtajiju kama mnanichukia huku siami maana hiyo sio Moja tu watu wameleta wengine wawili posa huyu mwamba haelewi kiswahili vizuri hadi asome hii post kachoka sana ..... Mashallah nyie waislamu mmeniletea baraka jamani , ni mzuri sana sana
ππππ[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]hata mimi nimemuwaza yeye
Half american alafu husemiπ€£π€£π€£π€£Nimekaa tu zangu home nilikuwa nimechill home basi nikaona simu nipo maeneo yenu , nikasema powa , nani jamani yule Mtu tumuite shado , humu Kuna siku Mtu alikuwa ananidis sana nawengine wakaniita Malaya , before mengine , kumbe mmenipamba sio mmenichafua.
Ilikuwa surprised sana KUONA kijana anasema ni PM nikasema ni wale wale tu nikavunga ila mwaka huu nikasema why not ngoja ni mpe tu nafasi mwana,nikamtext after 1 week akadai naomba namba ya simu , ππ€ͺ nikampa , .
Almost 1 week akaja akanitext upo sehemu powa nikajibu ndio , akaanza kunicall sikupick maana nilikuwa nipo busy na kupika maandazi , HUMU JF sijawahi kupata mwanaume so unique, kind , special na anamshiko kama yeye walahi , na jingine nimeongea truth tu kuwa Hana demu na haingiagi humu mara Kwa mara na nimekaa naye tufew days charting, kweli Kuna msemo , mmoja ukitaka kitu lazima ukiget , mwana majuzi idd kaja home kwetu around 1pm saa Saba akatua kwetu sio stendi nje ya nyumba yetu nilimueleza mengi nakumpa direction sijawahi mvulia sidiria Wala Pichu but wewe ni amazing , mtoto sio mtanzania mtoto ni half american plus German bibi ni mgermany Babu muamerica , mama yake mtz weeh , bonge la handsome boy sio baunsa Wala ni tall kiasi, mweupe , na nimwembamba kaja kwetu kaulizia mama , saivi ninavyokuambia katoa kishikizo uchumba next week ndio atakuja rasmi akitoka porini tukae nimfahamu ila kasema anakuja home au mahali popote niwe na ndugu yangu au mama , .
Ili visitendeke maajabu , aoe kitu hakijui akija nitashukuru sana walahi , kaniachia mzigo wa Mimi kuenjoy ,Sasa mtajiju kama mnanichukia huku siami maana hiyo sio Moja tu watu wameleta wengine wawili posa huyu mwamba haelewi kiswahili vizuri hadi asome hii post kachoka sana ..... Mashallah nyie waislamu mmeniletea baraka jamani , ni mzuri sana sana
π wabongo wape maneno picha wataipata wenyeweHalf american alafu husemiπ€£π€£π€£π€£
π sio mimi naomba hizo taarifa zinazosema ni mimi zipuuzweMkuu Half american umeweka nywele wave, na kuzipaka piko. Kisha unamdanganya Binti wa watu wewe ni zao la Ujerumani? π π π
Itakua ni Gily huyo si ndio anaendaga pori to poriMkuu Half american umeweka nywele wave, na kuzipaka piko. Kisha unamdanganya Binti wa watu wewe ni zao la Ujerumani? π π π
[emoji1787][emoji1787][emoji23] sio mimi naomba hizo taarifa zinazosema ni mimi zipuuzwe
Sawa ila wewe utampenda uwapendao mie nitampenda anipendaye , kwani wewe shida iko wapi nikipendwa ili mradi nimempenda umeona lini siku za Kati nalala Mika hakunaKwahio huyo mburushi ndio kakupagawisha π€£π€£π€£!!! Njaa mbaya kmmmk