Ndan ya box
Senior Member
- Jun 2, 2014
- 159
- 44
Kaka yangu baada ya kumaliza mafunzo ya ujeshi alipangiwa kazi hapa mjini (Dar)kwa kuwa hana ndugu hivyo alipokelewa na mwenyeji 1 nae pia ni mjeshi akiwa anaishi na familia yake nyumba za kota na aliishi nae kama mwanae,baada ya kujipanga kaka yangu alipanga nyumba na baada ya muda alioa,lakini yule mzee aliempokea baada ya muda alifariki lakini historia ya yule mzee hakujenga nyumba na wala hakuwa na mradi wowote na mkewe alikuwa mama wa nyumbani tu hakuwa na kazi yoyote.
Hivyo serkali iliwalazimu kuchukua nyumba na yule mama na watoto wote walirudi kijijini,huko maisha ni magumu aisee watoto walizoea maisha ya mjini,kaka yangu alimchukua binti 1 ili kulipa fadhila za yule mzee hivyo aliishi nae kwake,
Lakini baada ya kukaa kwa muda wa mwaka mkewe alimshauri kaka binti lazima alist mtihani kidato cha 4 sababu alifeli,kaka na mkewe walimlipia na binti tayari anasoma,
Tatizo yule binti mkewe anamtuhumu kuwa ni jeuri na hamheshimu,
Mara nyingi ameliport kwa mumewe but hakuna action yoyote,mke hamtaki yule binti anataka binti arudishwe kijijini kama msaada watampatia akiwa huko kaka kagoma tena anawaka kama moto.
Lakini mke anaonesha kuna kitu kingine ambacho hajaweka wazi maana anasema anaomba Mungu sisi tufunguliwe kuona ili tujue kwa nini anahitaji yule binti kuondoka.
Na swali kwanini kaka anamtolea kauli kaka kuwa bora mke aondoke amuache yule binti pale home na mwanae ?
Nilijiuliza sikupata jibu na nikajitahidi kumuuliza kaka je unauhusiano na huyu binti kimapenzi kaka kasema analea kama yeye alivyopokelewa na yule baba yake hapa mjini hawezi kufanya dhambi hiyo,
sasa nyumba yake kuna moto jamani hakuna amani,wala furaha kaka kashikilia msimamo,bora mke aondoke kuliko yule binti
Ushauri tafadhali