Jamani,hali hii ni kawaida?

Jamani,hali hii ni kawaida?

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Habari zenu waungwana?
Jamani naombeni kujuzwa,mke wangu anatetemeka sana mara baada ya kumaliza kufanya mapenzi,yaani anatetemeka mpaka meno yanagongana,vp hali hii inasababishwa na nn...nn tiba yake?
Nawasilisha kwenu waungwana!
 
Mkuu nina wasiwasi huwa unatoa adhabu badala ya kufanya mapenzi...

Labda nikuulize kwa kawaida huwa unaenda round ngapi?
 
Ungemuuliza kwanza huwa anajisikiaje. Kuna mitetemo ya furaha na ya karaha
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
.....hahaha!...! Aiseee!?
 
Mkuu nina wasiwasi huwa unatoa adhabu badala ya kufanya mapenzi...

Labda nikuulize kwa kawaida huwa unaenda round ngapi?

Kadoz kangu ni ka kawaida tu...tatu safi...sema anahic baridi,mapigo yanaongezeka,mpaka meno yanagongana ile...daah,mpaka naogopa asee...
 
Kadoz kangu ni ka kawaida tu...tatu safi...sema anahic baridi,mapigo yanaongezeka,mpaka meno yanagongana ile...daah,mpaka naogopa asee...

Okay...
Kuna uwezekano ni namna tu ya kuhamasika na mihemuko
Pia jaribu kumuona daktari achunguzwe BP usije ukaua mkeo
 
duuh iyo inatokana na utamu aupatao kaka me mwanamke wangu yaani akivua tu nguo nikianza kumshika maziwa hali inakuwa mbaya anaongea vitu hata avijulikani yaani ni utata tu ila baada ya tendo urudi ktk hali yakawida
 
Jaribu kupunguza round ie nenda moja uone anakuwaje,
ila pia usipomfikisha peak inawezekana akawa anateseka vile kuachwa hewan, unaweza enda hata round kumi lakini ukawa haujamfikisha penyewe so make sure mnafika pamoja safari yenu muendayo then kama bado mambo hayajabadilika mcheq dokta.
 
Haahaahaa! Mkuu! Hiyo hali ya kawaida mboona! Kwani ushawah kumuuliza kama huwa anajskia vibaya?
 
Habari zenu waungwana?
Jamani naombeni kujuzwa,mke wangu anatetemeka sana mara baada ya kumaliza kufanya mapenzi,yaani anatetemeka mpaka meno yanagongana,vp hali hii inasababishwa na nn...nn tiba yake?
Nawasilisha kwenu waungwana!

Kapime malaria, kaanza lini? Tangu mfunge ndoa? Sijui dege dege!
 
Back
Top Bottom