Jamani hakuna kitu kibaya kama hiki...

Jamani hakuna kitu kibaya kama hiki...

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
810
Unampigia sim mpenzi wako mida ya wanga alafu unajibiwa hivi;
Namba ya mteja unayopiga anaongea na sim nyingine.
ukarudia tena kama mara 5 ivi mda tofautitofauti assume mida ya SAA 7 usiku.
Wallahi ukipata usingizi mi najinyonga.
 
Umeshamaliza homework dogo? Itabidi wazazi tuwaambie walimu waongeze maswali. Madogo wanatupa BP wazazi. Au tuwajengeee mabweni mlale boda!
 
Unampigia sim mpenzi wako mida ya wanga alafu unajibiwa hivi;
Namba ya mteja unayopiga anaongea na sim nyingine.
ukarudia tena kama mara 5 ivi mda tofautitofauti assume mida ya SAA 7 usiku.
Wallahi ukipata usingizi mi najinyonga.
Hahahahaaaaa,,,,,,,,,,,mapenzi ni upofu Me too toa ushuhuda hapa ni kwel??
 
Mmmmmmh ! Hivi zile pass za mama Ndalichako" s" inaishia ngapi vile?nimesahau.
 
Poleni sana ninyi wavulana na wasichana.
Wengine ikisha fika mida ya majeruhi huwa hatupigi simu kabisaaaa.....
Na hata siku tunapo toka safari huwa tunatoa taarifa siku moja kabla, ili kuepusha presha, vifo vya ghafla na magomvi yaaio ya lazima
 
Back
Top Bottom