Jamani first year mimi nakufa njaa chuoni

Kakaako anafanya kazi TCU halafu unakosa pesa ya chakula?.kuwa muwazi mkuu kuwa ulijipandisha mwenyenyewe kwenye grade zisizo zako.
Aibu yake leo..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio tatizo la member wengi humu huwa wanajifanya wana pesa na kazi zao haliyakuwa nimasikini tu kama sisi wengine.

Tatizo kubwa la JF kila mtu ni BoSS.
Mimi ni mkulima, na ndiomaana napenda sana kuwakaribisha huku Ushirombo tule raha duniani..[emoji39]
 
Ndugu zangu mwaweza ona ni masihara ila kiukweli vyuoni kuna watu wanaishi kwa tabu sana, inafika mahali unakosa hata mia unaanza kukagua nguo ulizotundika ukiwa na matumaini unaweza ukakuta huko hata jero ukanunulie hata maji! inafika mahali ukipewa hata jero moyo unapasuka kwa furaha! mnaomponda huyu mtu hamjasoma na hamjui hizi adha
 
Rudi home kabla hali ijawa mbaya zaidi
 
Hua nawashangaa sana watu mnaosema "naomba mnisaidie pesa" walio na hizo pesa unadhani wameziokota?
Ilitakiwa uje useme "nisaidieni njia ipi inaweza niingizia pesa huku nasoma", hiyo ndiyo ingeonyesha kua umejipanga na sio mzembe, we badala ya kuomba kufundishwa kuvua unaomba samaki.
Endelea kumsubiri huyo mdhamini kama atakuja bure bure.
 
kweli kimpatacho swala simba hajui,mwenzenu yuko serious mnaleta masihara,akifa njaa mtasema vp alishindwa hata kuomba msaada
Angekuwa muwazi angesaidiwa ila anaonekana tapeli tapeli... hakuna atakayemsaidia. Mara anafanya kazi TCU mara anaomba msaada. Hivi director wa TCU anaomba msaada?
 
VAN DAME SI KUNA UZI ULIANZISHA KAMA WEWE WAKALA WA TCU UNASAIDIA VIJANA KUPANGWA VYUO LEO VEEPE TENA UNAOMBA MSAADA KAMA MWANAFUNZI MMMH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…