Jamani ethiopia...

We mwenyewe umemtisha kumtafutia Ngetwa huko unafikiri atarudi kwani hajipendi aise mkuu Ntuzu



We Si mchaga Ndio maana Unataka Ngetwa sasa Mimi ngosha wapi Na wapi NA hayo makitu?!
 
Last edited by a moderator:
Watanzania tuna matatizo makubwa sana! Japo gharama za utalii ndani ya nchi ziko chini kwa Watanzania (utalii wa ndani) lakini bado hatutaki kutalii ndani watu wanataka kutalii nchi za nchi tu! Mara Rwanda, Ethiopia, Somali, SA (Wazulu) et all! Tabu tupu yaani. Kiuhalisia kila kitu kipo Tanzania!
 
dogo, acheni ulimbukeni nyie, nchi yenu wapo warembo wa kila design. Ukiwataka kama hao waethipia wapo wabarbaig, wairaq, wambulu, warangi..wengi tu kibao. Ila wabantu warembo wengi kabisa mentality yenu tu ndio ovyo.

mkuu kwani umelazimishwaa kwani hatujui wambulu wapo ila wachafu mzeyaa afu wengi wao wanamichataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…