Jamani ethiopia...

Ethiopia, Somalia, Cape Verde, Kondoa, Manyara, kuna balaa sana hayo maeneo aiseee.


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Sasa kwanini tu-Import wakati tunaweza kutumia vya ndani?
 
Inategemea vigezo vyak ovya uzuri ni vipi!
Mi naona kawaida tu!!
 
Mkuu mbona unadhalilisha waBongo? Naona ukitembea huwa unafunga macho yako..... TZ wapo besti kulikoni!
 
Last edited by a moderator:
Habari za kwako mkuu...naona kama kawaida unatokea kumlundenga mlimbwende!!! umempa taji gani?
 
Mkuu worldcup itatufukuzisha kazi, masaa mabovu kweli. sijui makazini itakuwaje

Mkuu mimi nimewaza kitu, kwanini tusiende kwa mkuu wa kaya kupeleka maombi ya mapumziko kwa huu mwezi mmoja?
 
Mkuu mimi nimewaza kitu, kwanini tusiende kwa mkuu wa kaya kupeleka maombi ya mapumziko kwa huu mwezi mmoja?
Hahaaa..hapo nadhani unatafuta yaliyowakumba vijana wetu wa KARUME...Maofisi yote itabidi yafungwe na hiki ndicho kipindi cha wale wanaotumia advantage ya world cup kuchepuka.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…