.....Jamani!!! eeeee,uuuuwiii,nilishinda maskini sasa nalala tajiri....

.....Jamani!!! eeeee,uuuuwiii,nilishinda maskini sasa nalala tajiri....

mkubwa ntumie number nikurushie m-pesa

tumia ile namba mpya ya zamani imepotea af ufanye haraka kabla ya vd shop hazijafugwa
 
mkubwa ntumie number nikurushie m-pesa

tumia ile namba mpya ya zamani imepotea af ufanye haraka kabla ya vd shop hazijafugwa

Muombe Madame B akiniruhusu na kubusti sasa hivi na kias utakacho,
 
hakya nani mi nikajua umeshinda bingo,hahahahaaaaa mbavu zangu jamani ama kweli jamii ni dawa tosh ya msongo wa mawzo.
 
hakya nani mi nikajua umeshinda bingo,hahahahaaaaa mbavu zangu jamani ama kweli jamii ni dawa tosh ya msongo wa mawzo.

ntumia namba yako ya m-pesa nikutoe angalau umalize tule tumadeni twako,na kale kamkopo ka benk,usipuuze pls
 
Wakubwa!

Leo nimeamka salama kwa uweza wa Mungu nikiwa na mwanandna wangu kipenzi cha moyo si mwingine ni Madame B, ingawaje alikua amenununa kisa sikuweza kuhudhuria mechi usiku ya mimi na yeye,lakini alinielewa kwani sababu ilikua ni ukata wa fedha.
Basi bwana,Mungu amtupi mjaa wake ghafla anakuja mgeni katoka kwa balali ananiambia kamtuma mzigo(mabox mengi) alete kwangu,na mzigo huu utakuwa wangu,mara nikamuona wife madameB ananza kutabasamu,dah kumbe ni hela.Tumehesabu toka mamilio,mabilion,tumea fika kwenye matirioni.msaada tafadhali hivi tukitoka hapa tuingie kwenye..............eti madame ananiambia masilion et ni kweli?je ukweli ni up?msaada
Hiyo ndoto yako nimeipenda sana,hivi ulikula nini mpaka ukaota ndoto hii?ktk ndoto yako hii hivi hukumuona Birigate kweli?
 
Hiyo ndoto yako nimeipenda sana,hivi ulikula nini mpaka ukaota ndoto hii?ktk ndoto yako hii hivi hukumuona Birigate kweli?

nilikula ugali kwa alovera,pia nimepokea simu kutoka kwa birigate anaomba nimkope,bado sijamjibu
 
Back
Top Bottom