HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Hii kauli ya "hujui mungu kakuepusha na nini" ni dhaifuTena mshukuru Mungu hujui kakuepusha na nn. Move on na ktk maisha usije ukamtegemea mtu hata siku moja. Mwoneshe ya kuwa unaweza bila yy.ipo siku atarud kwa aibu mwamini Mungu.
Haya yote yanaletwa kwenu kwa udhamini wa elimu inayotolewa na shule zilizo chini ya serikali ya CCMWe nae huelewekagi
So unaumia nini kama kakubwaga hajakugusa kiandazi chako.Nafuu umpe papuchi ukumbukie nope alikuwa hayupo hivyo kwake alikuwa mtu anayejiheshimu wala sio nimeandika tu huu ni ukweli halisi ila yote maisha.
Mf. Wewe nijifanye best yako wandani nimpe mtu mwingine kazi ambayo wewe ulikuwa unaniomba nikutafutie ??So unaumia nini kama kakubwaga hajakugusa kiandazi chako.
😂😂😂😂 sijakupataHaya yote yanaletwa kwenu kwa udhamini wa elimu inayotolewa na shule zilizo chini ya serikali ya CCM
wote wachoyoMf. Wewe nijifanye best yako wandani nimpe mtu mwingine kazi ambayo wewe ulikuwa unaniomba nikutafutie ??
Naninajua fika nikikupa itakusaidia kwa ada na mambo ya muhimu ila nikampa mtu mwingine.
Yaani hata sielewi pameandikwa nini ujue.We nae huelewekagi
kama hukumpa papuchi ulitegemea nini?Nimemzoea mtu yapata miaka kadhaa huwa anajionyesha yeye ni malaika alijiweka sehemu ya mimi kumuamini ila alitoka akampa kazi mtu mwingine nikatika kampuni ya rafiki yake
Akaona isiwe tabu kaniambia na kunionyesha msichana aliyempigania kumpatia jamani kimeniuma na nimeamini kwamba sio kila mtu unamwamini nimemfungulia moyo wote nimemuamini ila siku ya mwisho kanibwaga bwa.
Naalijua itanisaidia kwa mahitaji ya shule kama ada na kulipia chumba cha kuishi.
Ila alifanya tu eti wengine wanatamani kusaidia mtu mwingine rafiki kipenzi ndio hivyo.
Alichonifanya.
Mlikuwa na makubaliano ya hiyo position ya ajira au uliamini kuwa malaika hiyo atajua mahitaji yako bila wewe kumuambia?Nimemzoea mtu yapata miaka kadhaa huwa anajionyesha yeye ni malaika alijiweka sehemu ya mimi kumuamini ila alitoka akampa kazi mtu mwingine nikatika kampuni ya rafiki yake
Akaona isiwe tabu kaniambia na kunionyesha msichana aliyempigania kumpatia jamani kimeniuma na nimeamini kwamba sio kila mtu unamwamini nimemfungulia moyo wote nimemuamini ila siku ya mwisho kanibwaga bwa.
Naalijua itanisaidia kwa mahitaji ya shule kama ada na kulipia chumba cha kuishi.
Ila alifanya tu eti wengine wanatamani kusaidia mtu mwingine rafiki kipenzi ndio hivyo.
Alichonifanya.
Yaani hata sielewi pameandikwa nini ujue.
Nashangaa wenzangu wanaelewa na comments juu. Labda uwezo wangu mdogo
Kulikuwa na makubaliano kabisa naniliitegemea ila akampa msichana aliyempendaMlikuwa na makubaliano ya hiyo position ya ajira au uliamini kuwa malaika hiyo atajua mahitaji yako bila wewe kumuambia?
Sijakuelewakama hukumpa papuchi ulitegemea nini?
Uchokozi sipendi tena na wewe .Yaani hata sielewi pameandikwa nini ujue.
Nashangaa wenzangu wanaelewa na comments juu. Labda uwezo wangu mdogo
Meaning??Hii kauli ya "hujui mungu kakuepusha na nini" ni dhaifu
Ni boraMi napita pita tu tujiondokee
Sijakupatawote wachoyo
Mungu kakuonyesha malaika wa maangamizi in flesh.Kulikuwa na makubaliano kabisa naniliitegemea ila akampa msichana aliyempenda
Buhhhhhhhhhh