Jamani dunia imefika mwisho

Jamani dunia imefika mwisho

Kila siku tunaonywa utandawazi utatufikisha pabaya hatusikii. Ona sasa umekutana na haya malimwengu.

ni hateriii sana watu wanajitangaza waziwazi hadharani kwamba wanatumika

yaaani ngono imekua kwa haki ya juu sana...watu hawamuogopi mwenyezimungu tena wala hawana moyo wa wa aibu ni nyakati za mwisho hakika
hili jambo sijawah kuliona nimeliona leo hii
KikulachoChako ulipita hapa kweli leo

watu wanatangaza hadharani kwamba anatumika vipi yaani
 
Last edited by a moderator:
masai dada yaani hawa jamaa mimi ninasema wanabahati yao tu. kwa ushauri wangu dawa ya hawa jamaa ni wanasayansi watengeneze bamia kama ya punda, ili wenye fedha tununue ili tuwafatilie vizuri, yaan nahakikisha kwamba nikumpata namuacha nimefumua koni zote zinazomjaza kiburi.

washezi sana.

cc issa ramadhani
He! Sasa utakua umewasaidia kweli! Hao hua wanapata raha na kupenda ajabu mpaka kujitolea wachinjwe waliwe nyama!!! Wapotezee tuu na hiyo adhabu yako.
 
Last edited by a moderator:
He! Sasa utakua umewasaidia kweli! Hao hua wanapata raha na kupenda ajabu mpaka kujitolea wachinjwe waliwe nyama!!! Wapotezee tuu na hiyo adhabu yako.

ila dunia imefika mwisho aisee
 
ni hateriii sana watu wanajitangaza waziwazi hadharani kwamba wanatumika

yaaani ngono imekua kwa haki ya juu sana...watu hawamuogopi mwenyezimungu tena wala hawana moyo wa wa aibu ni nyakati za mwisho hakika
hili jambo sijawah kuliona nimeliona leo hii
KikulachoChako ulipita hapa kweli leo

watu wanatangaza hadharani kwamba anatumika vipi yaani

Dada yangu hiyo...picha imeniacha na mshangao...sana..mpaka muda huu nimebaki mdomo wazi mpaka nimekula nzi...
Kweli dunia sio mbaya ila walimwengu ndio wabaya....
 
Last edited by a moderator:
Dada yangu hiyo...picha imeniacha na mshangao...sana..mpaka muda huu nimebaki mdomo wazi mpaka nimekula nzi...
Kweli dunia sio mbaya ila walimwengu ndio wabaya....

acha tu dunia imefika ukingoni
hapo ni sawa na kuinadi Ngono hadharani
 
mmmh Huyu naona kaenda deep sana, hata shetan nadhani kashtuka
 
"On 3 November, she performed at the
United Nations Office at Vienna in
front of UN Secretary-General Ban
Ki-Moon . A spokesperson for Ban
described Wurst as a "cultural icon"
and asserted that "Everyone is
entitled to enjoy the same basic
rights and live a life of worth and
dignity without discrimination. "
 
Muislam anaitwa Thomas??

Ni ushauri tu, majina yetu mengi ni ya asili ya tamaduni za waliotuletea dini hizo....kuna majina yenye asili ya kiarabu, kiingereza, kijerumani, kirusi, kibantu n.k....Kuna akina Hussein, Abdallah ambao ni wakristo kama ilivyo kina Thomas, Yohana n.k....
 
huyu ni juimbaji wa australia katika pita pita zangu insta nikamuona looooh

Masai dada, huyu "dume-jike" anaitwa Conchita Wurst na anatoka "Austria" na sio "Australia". Huyu ndio mshindi wa "Eurovision song contest 2014"!
 
Back
Top Bottom