ager de don
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 621
- 320
Mjomba kazi umetoboa wapi ili walau tujipe moyo?....unapigwa bei gan?acha kulialia wenzako tumesoma hapo supp tuliisikia kwenye bomba.
Kwanza siku hizi DIT imelegeza imekuwa soft sana, hapo ndio School of hardknock
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Na bado tunakungoja street huku kuna life jingine mkuu
We lofa kweli unaijua sheria mpya ya CA iliyoanza kutumika mwaka au unaongea tu..Eti imekua soft pumbavu kabisa.
Mjomba kazi umetoboa wapi ili walau tujipe moyo?....unapigwa bei gan?
Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah,tuhurumiane....chuo masomo mengi,malecture jau,sheriq kali,apa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Mbona wakitoka huko wanalia ajira kama wa Iringa University tu. Ubora wa shule uonekane kwenye kutumia fursa kisomi sio maneno tu kama Manara wa simba. Mineno miiingi, kazi kujazana utumishi watu elfu mbili kugombea nafasi 3 then darasa la saba na wasiokwenda shule kabisa ndio wanatumia fursa zilizopo kutajirika.Nenda UDSM
Chuo kikuu cha Tanzania.
Huko kwingine mnasoma shule za kawaida tu
Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah,tuhurumiane....chuo masomo mengi,malecture jau,sheriq kali,apa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Ni balaaaaUmeongea kwa sauti kali sana aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah atar sana kakaSomeni sana ajira nayo ya kuload nyie someni tu
Nw mambobni moto mkuuacha kulialia wenzako tumesoma hapo supp tuliisikia kwenye bomba.
Kwanza siku hizi DIT imelegeza imekuwa soft sana, hapo ndio School of hardknock
Nahya tuhurumieee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtakomaaa hahaaaaa
Usiongee vitu usivyovijuaasante mwerevu
Jamani dit ngumu acheni utani,kuanzia idadi ya moduli na mengineyo..DIT ilikua ngumu miaka ya nyumanyuma sio sasa !wakat ule wadada walosoma DIT walikua km mamen ht ukiwaangalia !
mkuuJamani dit ngumu acheni utani,kuanzia idadi ya moduli na mengineyo..