Jamani dada huyu anasumbua!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani dada huyu anasumbua!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MPAMBANAJI.COM, Apr 18, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Ninamuda mfupi sana katika eneo nililohamia...hapa ni pahala pa wastaarabu sana, alinikaribisha kwa upendo sana nami nilimpokea na kumuelewa kama dada yangu wa dhati... ila mara nimechoka wangu,leo sijakuona, umechelewa leo....utapenda nikikufulia...jamani leo umependeza...utarudi sangapi...jamani ninunulie soda wangu....jamani unakaangisha vizuri...jamani nasikia mziki mzuri chumbani kwako...jamani wewe ni handsome..naomba nikufulie...nataka tupike pamoja siunajua kula mwneyewe hakishuki...Haya ni baadhi tu ya mabo ya vihoja yanayonikera...nisaidie... nimfanyaje huyu mtuuu na ujirani huu....


  Aksanteni
   
 2. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  uchunguzi wa fasta unaonesha WEWE ndio unamsumbua yeye. Manake huelewi signal. Acha usumbufu. Kama vipi mpe fact.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Huo ni upendo wa wapendwa, huelewi nini?

  Kama hufurahii, mwambie, au ni memba hapa?
   
 4. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,126
  Likes Received: 23,736
  Trophy Points: 280
  Lete Manzi mmoja hapo nyumbani kwako umuone kama atakuja tena!.
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Mwambie aje asafishe uvunguni mwa kitanda chako
   
 6. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  nadhani niletee tu mamzi
   
 7. mito

  mito JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,642
  Likes Received: 2,027
  Trophy Points: 280
  Mpotezee tu
   
 8. n

  ngaranumbe Senior Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ohoooooo utapewa ile nyama na utasahau kwenu. Chakufanya kama hutaki mbivu jifanye una ngoma na ukishindwa kuvumilia basi chana nyavu kwani hakuna jinsi wala godrai.
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Msalimia sana...mwambie b52 namsalimia na namwomba akuache...
  BTW...UKIMWI unaua
   
 10. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,499
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Niliwahi kukaa na wabotswana (1980s), wao kwao hilo ni la kawaida kwa msichana kumtongoza mvulana. Unajua kwao ni siku hizo idadi ya wanaume ilikuwa ndogo sana kulinganisha na wanawake (0.68 male(s)/female(s)), hivyo msichana ndiye mtongozaji tofauti na huku. Kwa jinsi population ya TZ ianvyozidi kubadirika (ratio), tumeanza kufikia mahali pa wasichana kuwa watongozaji. Hivyo usiyanshangae hayo anayokwambia. Jiulize ungekuwa wewe ndiye umempemda na unaanza kumtongoza si ungemwambia hayo anayokwambia? La msingi mpime uone hasa nia yake ni nini, uhuni tu au kuoana; halafu jipime mwenyewe kama uko tayari kwa hilo. Chunguza zaidi na fanya maamuzi
   
 11. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Na mimi nataka nianzishe topic kwani nina siku mbili sijaanzisha.
  Ngoja nifikirie.
   
 12. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watamu sana wa ivyo kula bhana au hana mvuto
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Story za Kutunga peleka Ijumaa Wikienda au Kiu
   
 14. k

  kabye JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu cha muimu, chapa kisela kama una niya naye. Inaonesha uyo dada ana kazi yakufanya so malanyingi anakuwaza wewe. mkuu kama umtaki mwambie ukweli asipoteze muda kwako.
   
 15. T

  Tingitane Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Take care sana the one who love you the most sometime is the one who will hate you the most angalia usje ukaikimbia kodi yako na kama umejenga basi unaweza kuicha hiyo nyumba kuwa strong we ni mwanaume sio kila unachokiona unakula tu kama ni hotel za kichina unaeza kula hata nyoka.

  take care!!!!!!!!!
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  "Mpambanaji" anapokuwa hajui kupambana. Inasikitisha!
   
 17. N

  Ntuya Senior Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenziiiiiiiiiii. Mpambanaji pambana.
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  kula maramoja na condom!
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  vunja ukimya................imeletwa kwenu kwa hisani ya watu wa marekani
   
 20. k

  kabye JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwambie avae kimini alafu mpe kazi ya kudeki chini ya uvungu, wewe ukae kwenye kiti umtumie mbolilibo.
   
Loading...