Jamani dada huyu anasumbua!!!

Take care sana the one who love you the most sometime is the one who will hate you the most angalia usje ukaikimbia kodi yako na kama umejenga basi unaweza kuicha hiyo nyumba kuwa strong we ni mwanaume sio kila unachokiona unakula tu kama ni hotel za kichina unaeza kula hata nyoka.

take care!!!!!!!!!

NUKUTA, uyo demu atakupa limwata....kilautachoambiwa utasema ndiyo sweet. mfukuze uyo demu ni noma.

Si vingaavyo vyote ni gold kuwa makini sana.
 
Back
Top Bottom