Elections 2010 Jamani CHADEMA vipi kusini huko?

2mbaku

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
316
67
Wana JF vp jembe le2 limepokelewaje kusin huko? Aliye na picha za uko jamani!!!!
 
Nimewatch via TBC nkaona nyomi kule Lindi.
Na akawaahidi viwanda na kuboresha maisha kwao
 
Vp ratiba yake siku ya kesho,atafika kwetu Tandahimba(mtwara)? Huku wananchi wanamsubiri kwa hamu sana!
 
CUF naona watazodoka sasa maana walianza sisa za ukanda mara oooh ati Pwani na Mtwara na Lindi ni ngome ya CUF mara kimepanda na kushuka leteni pich tukate ngepe! Swagg la Slaa kila Mtanzania analikubali!
 
Yakhe hakuna kusini wala kaskazini ,hivi uliona hizi picha karibuni zote zilizoletwa hapa JF ,Slaa akipigwa mgongoni tu ,hakuna ya ubavuni wala sehemu ikionyesha jukwaa kuu kwa mbali ,zote jamaa anampiga mgongoni basi weka akili vizuri ujue machale ya kuchakachua ,nilipiga mayoe hapa wakaona nimewasitukia maana kwenye jukwaa siku zote utaona kamba ni zilezile.
 
Ha ha haaa! Mwiba butu huo.

Mpigie kura yako Slaa jumapili.
 
Yakhe hakuna kusini wala kaskazini ,hivi uliona hizi picha karibuni zote zilizoletwa hapa JF ,Slaa akipigwa mgongoni tu ,hakuna ya ubavuni wala sehemu ikionyesha jukwaa kuu kwa mbali ,zote jamaa anampiga mgongoni basi weka akili vizuri ujue machale ya kuchakachua ,nilipiga mayoe hapa wakaona nimewasitukia maana kwenye jukwaa siku zote utaona kamba ni zilezile.

sasa si utulie
 
Back
Top Bottom