Jamani brela wanaboa

Mbona hizi taratibu unafanya mwenyewe tena online na pesa unalipa hta kwa simu. Nimefanya mimi January sikutoa hata senti kwa hao watu, zaidi tu nilienda wanielekeze sehemu baada ya kukwama na nikamaliza kila kitu baada ya hapo.

Kwa kifupi nilichokiona pale maana kuna siku nilikuta wadau wanamshinikiza yule mfanyakazi wa pale awafanyie mchakato wa kujaza jamaa akawa anakataa anasema sio utaratibu waliopewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanachaji elfu 50 kutaka kujua kama jina la kampuni limeshatumika au la.. eeeeh elfu 22 kusechi tu. Ni majanga
 
Tz bado sana walisema Brela sasa ni digital lakini hata kwa hard copy bado hawajaweza.
 
Wataje, hapa kazi tu washughulikiwe mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…