Hao ndo BRELA bhana,
Ni kitega uchumi cha watu, nimeandikisha jina la biashara naambiwa nitoe Tsh 30,000/= ili nishughulikiwe haraka. Unaongea na mtu yeyeto mwenye kitambulisho au wale walinzi wao GEMA security. Au kuna mtu anaitwa Teacher unapata certificate baada ya siku mbili.
Lyandembela1
Nawasilisha