Jamani bobaboda na damu zetu!!!

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,504
12,829
Jaman wana jf wenzangu...tuwe makini na madereva wa bodaboda wanaoendesha ovyo, embu ona abiria na dereva walivyotutoka huko morogoro... Inauma sana





MAITIBODABODA3.jpg MAITIBODABODA3.jpg MAITIBODABODA3.jpg
 
Asante kwa picha,japo umeipiga ki uoga uoga,Utumiaji wa boda boda ni hatari kwa maisha.
 
Umakini unatakiwa kwenye vyombo vya moto hata train, ndege,magari,baiskeli zinaua.
 
! Raha ya milele Uwape Ee Bwana' na mwanga wa milele uwangazie, wapumuzike kwa amani. Kuna ajali nyingine imetokea sasa hivi ya bodaboda na gari dogo, Nyerere road Dar, karibia Airwing terminal.
 
Ndo maama me na hawa jamaa mbalimbali kabisa....hawafuati kabisa sheria za barabarani.,,.zilale. Pema roho za marehemu
 
Back
Top Bottom