Jamani, angalie Rais Samia alivyotuna

Jamani, angalie Rais Samia alivyotuna

Kwa kweli hata mimi limenipa ukakasi mno, nimewaza mbali sana,

Ikibidi mtoa mada alibadilshe hilo neno, halileti maana nzuri,
Je, ukakasi na kutoa roho za watu kipi kipi bora? Yaani mimi umataka nifute lakini wanaoua unashindwa kuwaambia waache. Makubwa!
 
Kweli mkuu, Kuna watu wamejipa mamlaka ya kutoa uhai wa wenzao,

Naamini watapata malipo Yao hapa hapa duniani,
Mimi kinachoniuma zaidi ni kwamba hao watu wanaotoa uhai wa watanganyika wenzao kwa sababu za kipumbavu sijui wanalinda amani, wametengewa kabisa fungu ambalo ni pesa za walipa kodi wa Tanganyika.

Yaani kodi ya mtanganyika inatumika kupora uhai wa mtanganyika hili mzanzibar aendelee kuitawala tanganyika bila bugudha.

Hakika kama taifa tunamkosea sana Mungu kwa kuruhusu haya
 
Ni kweli ni wakati wake kutuna. Atulie ale lakini asitumalizie Watoto wetu.

Sababu hapo alipo ni miaka michache. Baadaya hapo atakuwa si lolote si chochote.

Uzuri wa mali hata ujaze hela unakufa na kuziacha.

Urais unakuwa wa maana ukiambatana na kulinda uhai wa unaowatala.

Bado namtafuta Mdude. Naamini Rais atamuachia huru.
View attachment 3492209
Uzuri wa mali hata ujaze hela unakufa na kuziacha.
 
Mimi nimeweka angalizo tu mkuu, wakikutaka hata uwe Zenji wanakuteka tu.

Kama Katibu wao wa NEC Polepole kapotea hawashindwi kwako,
Mambo ya utekaji yapo kwenu huko. Sisi tunajilia urojo tukicheka mnavyotapatapa. Huwa mnajifanya wababe
 
Mambo ya utekaji yapo kwenu huko. Sisi tunajilia urojo tukicheka mnavyotapatapa. Huwa mnajifanya wababe
Uovu hauna mmoja, huko kulikuwa na mazombi wakiua na kubaka,
Ni sasa tu kumetulia, pia walishatokea wakimbizi wakaenda Shimoni Mombasa,

Kwa hiyo tulip, kuimba ni kupokezana,
 
Back
Top Bottom