Jamani akina dada tuhurumieni basi hata kidogo.....,

kwani ni mkeo au just a girl lover?me nazani mwanamke muelewa ataelewa na hta fnya ujinga kma huo,huyo sio mwanamke wakujivunia coz ipo siku atakutelekeza ww na watoto ndani ya ndoa yako na ukabaki unalia mwenyew ndani.
Piga chini mwnamke wa namna hiyo kwani mzazi wako huyo useme atakuumiza kchwa pindi ukimppteza na hautapata mwingne kma akisepa?
 
Ndo levo ya pesa aliyoombwa ,below elfu 50 afu anapiga yowe angeambiwa atoe laki si angejitundika kama kina fulani,ha ha ha

Tendo la kuomba inamaanisha huna sasa unapewa kilichopo analeta ujinga na wewe unashangilia.......§₩¥¿x-(O:) sana wewe
 
Akiona Hiyo Ndogo Achana Nae Atakusumbua Huyo Kwan Iko Ni Kipimo Tosha Kuwa Ham endani Na Km Mnaendana Hamfanan Pia Shukuru Mungu Hajaoana Mana Akingekuwa Anatoka Hata Na Vizee Ili Vimkamilishie Haja Zake.mbona Wanawake Wako Weng Wavumiliv Na Wengne Wana Kaz Zao Na Pesa Zao Wanaitaj Wanaume Wa Kutulia Nao Wafanye Maisha Mana Cku Iz Kuolewa Heshima Kuliko Kaz Ndo Mana Wanawake Kibao Wanaacha Kaz Kisa Ndoa
 
Samahani kaka, kwani wewe ni mzazi wake? unaomba huruma ya nini?una mkataba naye?

Nakushauri Sepa,(achana naye) hutajutia, huyo hata ukimweka ndani ni stress tupu.Hata kama ukiwa nazo usije ukatanguliza pesa hata siku moja kwa mwanamke. pesa hazina mwenywe bwana siku huna kama hivyo utafanyeje?

Kwanza hakikisha una misimamo flani katika maisha yako especially katika suala la mapenzi halafu tafuta mwanamke anayejielewa kidogo na ambaye yuko independent hata kwa mawazo tu, hapo umenoa.i cant imagine mwanamke ANAKUTUPIA hela hata kama ni buku then hapokei cm mpaka utakapompatia?acha kututania!!!!

Inawezekana ni uvulana au unampenda, kama ni uvulana kuwa mwanaume ndugu, kama ni mapenzi katafute hiyo sijui ndo sh. ngapi kaomba mpe endelea kubuy time ili usiumie sana wakati ukibadilisha mtazamo na mwelekeo wako kabisa.
Then hilo janga waachie wanaotamba na pesa zao likawachachie siku wakifilisika.
Kila la kheri usikate tamaa pamoja na hayo yote bado kuna wanawake wanaofaa,tulia umwombe Mungu Pia.
 
nenda msoma ukapewe kozi ya kuishi na mademu, kule ukimpa afu akakurushia hela usoni! Anatandikwa had anaikota mwenyewe then anaitumbukiza mfukoni mwako mwenyewe.....tehe tehe teheeee sometime unfair actions help


ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!!!! mkuu u just made my day
 
Naona mtoa mada kashambuliwa sana na baadhi ya wachangiaji ambao inanifanya nianze kuamini ni mojawapo ya waliohalalisha kupiga mizinga!

Kiufupi sipendi mwanamke omba omba, napenda kudeti na mwanamke anayejishughulisha! Mnaishi kwa kusaidiana, na sio wale kupe .....ni mizinga mwanzo mwisho hadi kero.

Lazima tukubaliane kukubaliana kwamba life style imebadilika sana, maisha kwa nchi yetu yamekuwa ya ghali sana. Plus extended families tulizonazo, ongezea na mwanamke tegemezi asiye na kipato hata cha kwenda saloon ajiswafi mwili wake. Mwanaume uki-muintateini lazima mwisho wenu uwe wa simanzi.

Mbaya zaidi unakuta upo na mtu ambaye ni maskini wa kipato hadi fikra ( hana visions). Ndo hao ukiwaambia beby mambo hayajakaa sawa leo, utanuniwa hadi uone dunia chungu.

Ushauri wangu: takwimu zinaonesha wanawake ni wengi kuliko wanaume, vuta subira utafute mwanamke muelewa. Jitahidi upate mwanamke mwenye elimu walau kidogo, na awe anajishughulisha. Lengo hapa ni kuhakikisha anaweza kujitimizia vihitaji vyake vidogo vodogo, nawe unajazilizia pale anapokwama. Bila hivyo, utaombwa hadi hela ya kununua pedi!!!
 
Ndugu wadau utakuta mtu una girl friend wako...,na haujawahi hata cku moja kum-dissapoint ktk mahitaji yake esp financially.,sasa inatokea cku hauko vizur na anahitaj letsay elfu30..,na ww unampoza kw maneno mazuri kuwa hauko safi ck hiyo na unampa elfu10 ambayo unayo..,loh.....,unashangaa unatupiwa uson hako ka elfu kumi....,na anasema `yaani hiyo ndo hela ya kumpa yy..,kama hautaki basi.,`na cm ukimpigia hataipokea hata wiki mpaka hapo utakapomtosheleza hitaji lake..,vp wadau imekaa vizuri kweli hii?
Acha uvivu wa kutongoza mzeya kwa taarifa yako Tanzania ratio kati ya mwanamke na mwanamme ni 4:1,ukiona mizinga mingi piga chini papuchi ya Masaki na ya Buguruni zote ni sawa,papuchi ya mwenye degree na darasa la saba zote sawa,fanya maamuzi magumu mzeya kama vipi gonga sepa kama nyoka ndio dawa yao wapo wengi sana hao viumbe
 
Ndugu wadau utakuta mtu una girl friend wako...,na haujawahi hata cku moja kum-dissapoint ktk mahitaji yake esp financially.,sasa inatokea cku hauko vizur na anahitaj letsay elfu30..,na ww unampoza kw maneno mazuri kuwa hauko safi cku hiyo na unampa elfu10 ambayo unayo..,loh.....,unashangaa unatupiwa uson hako ka elfu kumi....,na anasema `yaani hiyo ndo hela ya kumpa yy..,kama hautaki basi.,`na cm ukimpigia hataipokea hata wiki mpaka hapo utakapomtosheleza hitaji lake..,vp wadau imekaa vizuri kweli hii?

kuna mmoja wa shemeji/wifi yako wa miaka tele ya huko nyuma nimempigia simu leo mida fulani hivi ya mchana nikawa namuomba turudiane nikiwa na maana ya game, nilichojibiwa ni hivi wewe KIBOL unajua siku hizi nimekuwa wa gharama?nilichoka ikabidi nimpotezee mazima..........nadhani ukiread between the line kuna pwenti hapo ktk kuwaelewa wanawake wa kizazi hiki cha nyoka.
 
Mimi mademu niliowahi kuwapitia wote walikuwa wananihonga kwa hiyo nikisoma thread za mizinga mizinga najisikia kizunguzungu
 
Awali ya yote, wewe ndo Zero-Thinker kabisa. Maelezo yako yanajieleza wazi kuwa huwa unatanguliza hasira mbele na kukurupuka ktk kutoa majibu yako. Hoja zako zimejaa jazba! Na nahisi wewe ni female.

-Unaenda saluni elfu 40!
-Unapeleka 'viwalo' dry cleaner! (hongera kwa hilo, na nahisi wewe ni mfuga kucha)
-Kwenda kwa jamaa unapanda Bajaji, tena ungepanda Taxi kabisa yenye tinted & kiyoyozi!! (hongera kwa hili pia maana hutaki kuchafuka, kubanana na kujambiana kwenye daladala)

mpaka hapo inaonyesha wewe ni sista-duu (wale wale wasiooleka). Na ndo maana nikasema kuwa inawezekama huyo jamaa kachukua demu ambae SIO CLASS/TYPE yake, that's y anamsumbua na kumpelekesha. Let say izo gharama zako apo juu: uende saluni (kwa elfu 40) mara 3 kwa mwezi; upeleke nguo dry cleaner mara 4 kwa mwezi (maana huwezi kufua, sa sijuwi ukija kuzaa na nepi za mwanao utakuwa unapeleka dry cleaner?!); upande bajaji/taxi kila kwenda kwa jamaa; n.k

Ivi kwa akili yako finyu unadhani mwanaume mwenye maisha ya kawaida tu ataweza kumudu mwanamke that type?? Oviously jibu ni hapana! So kuepusha stress, ni bora atafute mwanamke ambae ni class yake na wataelewana. Mbona kuna warembo wengi tu ambao saluni hawezi tumia zaidi ya elfu 10, anafua nguo mwenyewe (sio kwenda dry cleaner), anapanda daladala (sio bajaji wala taxi) , n.k Na maelezo ya jamaa yanasema kwamba siku ikitokea amekwama kipesa na kumpa elfu 10, huikataa na kumrushia nayo usoni kwa nyodo, na humchunia ata week nzima mpaka atapompatia pesa ya kutosha. So hayo ndo mapenzi eeeeh? nyie ndo wale wale gold-diggers. Mnatamani muishi maisha high class wakati ni unable financially.
Nina mashaka na uwezo wako wa kusoma maandishi maana maelezo yangu yalikuwa very self-explanatory.
Na Kama bado hujaelewa ninachomaanisha, basi we ni kilaza au unatafuta tuzo ya ubishi.

On the other side of the coin, why upende high maintenance wakati hauna pesa zako mwenyewe? Acha kumfilisi mwenzio kwa ulimbukeni wako wa maisha. Kuna baadhi ya wanawake wana wanaume na still hujiita Miss-Independent, hivi maana yake huwa ni nini??
Haya si maneno ya kilaza tu bali ya mbulula kabisa; kwani huyo jamaa yako alichukuaje demu bila kujua costs za kummaintain? lazima ukutane na matarajio ya mwenzi wako kabla hajakutamkia. Alipaswa kujua mapema mahitaji hayo na kujipima uzito kama atahimili au vipi. Usitokwe mapovu bila kuelewa hoja; Upo wajibu wa mwanamke katika mahusiano na upo pia wajibu wa mwanaume katika mahusiano na kila mmoja lazima acheze karata inayomhusu hakuna cha blah blah. Wapiga maneno kama wewe mnaopenda vya bure ndio mnaopenda kuendesha mapenzi kwa ngonjera za maneno matupu; jifunze kuhudumia acha ujanja ujanja wa maneno kuhalisha vya bwerere.
 
Haya si maneno ya kilaza tu bali ya mbulula kabisa; kwani huyo jamaa yako alichukuaje demu bila kujua costs za kummaintain? lazima ukutane na matarajio ya mwenzi wako kabla hajakutamkia. Alipaswa kujua mapema mahitaji hayo na kujipima uzito kama atahimili au vipi. Usitokwe mapovu bila kuelewa hoja; Upo wajibu wa mwanamke katika mahusiano na upo pia wajibu wa mwanaume katika mahusiano na kila mmoja lazima acheze karata inayomhusu hakuna cha blah blah. Wapiga maneno kama wewe mnaopenda vya bure ndio mnaopenda kuendesha mapenzi kwa ngonjera za maneno matupu; jifunze kuhudumia acha ujanja ujanja wa maneno kuhalisha vya bwerere.

Bora umekiri na kuthihirisha umbulula wako. Done! :becky:
 
Aisee yaani wanawake wa jinsi yako ni wale mnaamini Mnyazi Mungu tayari kesha wapa mtaji wa asili so anayetaka shurti agharamikie

Sio kosa lako ni kosa la mfumo dume uliorithi umekuathiri.

Watu wanamademu wanatafuta kama wanaume na haijalishi kama siku upo hovyo demu anasimamia show mwanzo mwisho bila hata kuambiwa halafu eti wewe unaulizia sijui drai klina mara saluni mara bajaji ebooo
Acha fikra za kitumwa dadaa

Mapenzi ni nini? ni kukutana na matarajio ya mwenzi wako kabla hajakutamkia. Hakuna cha mfumo dume hapo kwa mtu anayejidai ni great thinker. Yale ya kupewa buku kumi hayakuwa ndio matarajio yake na kama wewe unayedemu anayejua matarajio yake ni kupigwa tafu au kuongoza shoo atafanya tuu kwani ndio mapenzi hayo anakutana tu na matarajio yako na wewe unakutana na yakwake kwa jinsi tofauti anayoikubali. Hakuna sheria moja ya mapenzi ya kumfaa kila mtu ndio mana unao uchaguzi mpana na ukipata unajipanga jinsi ya kusongesha mambo mbele.
 
Back
Top Bottom