Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,920
- 4,216
[emoji15] [emoji15] kwaiyo nd bc tena auPasua kichwa hiyo mzee, nafuta njia nyingine tu hiyo simu ni ya kichina
[emoji15] [emoji15] kwaiyo nd bc tena au
Kwa ujumla vijana wa mjini wamekupigaDaaaah kwaiyo mna nixaidiaje cwezi kuitumia iv ivi
Yah mkuu nme angalia zle code za Samsung original ...zte zmekubari yanDuh kwamba ni original! How did you know that before..!?
mkuu fanya mambo haya.
1. nenda setting kisha about kisha angalia model ya hio j5 ni ipi? ipost hapa au tuma screenshot yake.
2. download app ya cpu z kisha i run halafu kwenye soc iandike hapa au tuma screenshot yake.
hii ni ya china, sio china fake, bali imetengenezwa itumike china na kule hawatumii playstore.
Nlipeleka kwa jamaa ua ana weza IT kdgo aka connect Na computer akaanza ku weka ma file nd ikaja iyo play store lakini aifanyi kazi....mwanzoni ata internet ilkua ina sumbua ila nilivyo mpa ikaanza kufanya kazi nhii ni ya china, sio china fake, bali imetengenezwa itumike china na kule hawatumii playstore.
umefata steps gani kueka hio playstore yako?
Mkuu nmetumia simu zte tecno.infinix Na I phone nilivyo ona i Samsung nka ona isiwe shida nikijarbu Na ii [emoji23][emoji23]Uliavyoandika tu umenichosha kichwa ndo maana wamekuingiza mjini
muulize huyo jamaa yako sasa ameeka play service? kueka tu apk ya playstore hakusaidii inabidi na framework zisizoonekana nazo aziweke, kama google framework, playservice etc.Nlipeleka kwa jamaa ua ana weza IT kdgo aka connect Na computer akaanza ku weka ma file nd ikaja iyo play store lakini aifanyi kazi....mwanzoni ata internet ilkua ina sumbua ila nilivyo mpa ikaanza kufanya kazi n
Ngja downloadJaribu kuweka hii app. Hiyo sio fake lakini imetengenezwa kwa ajili ya soko la china ambapo hawaweki Google play.
Download Google Installer APK v 2.0 for Chinese Phones -