Mara nyingi huwa nasumbuliwa na tatizo moja la matiti yangu kuwasha hasa baada ya kuoga.. je, kama kuna anayefahamu tatizo hili tafadhali naomba unisaidie kwa hili, manake limekuwa serious jamani
jaribu kubadilisha sabuni unayotumia kuogea!tumia sabuni yenye low pH around 5,5...na yanawasha sehemu gani haswa chini matiti kwenye mkunjo au wapi?Inawezekana una fungus!
jaribu kubadilisha sabuni unayotumia kuogea!tumia sabuni yenye low pH around 5,5...na yanawasha sehemu gani haswa chini matiti kwenye mkunjo au wapi?Inawezekana una fungus!
yanawasha kwa upande wa kwenye chuchu.. mara ya kwanza madaktar waliwah kuniambia nibadilishe sabun but hali bado. na bado cku zingine naoga bila soap lakin huniwasha