Northern empire
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 358
- 459
Habari za asubuh ndugu zangu kunakitu tunabishana na mtu hapa yeye anasema eti mwenyekiti wangu mbowe alipata four alipokuwa form six ila mimi nimempinga Kwan mwenyekiti wangu hauwezi kupata hizo namwambia walau angesema alipata two.. Sasa nimeamua kuwauliza waliokaribu nae ivi alipata daraja (division) ipi form six.. Naomba msaada maana hapa leo nimebanwa niwape matokeo yake..
Mi CHADEMA asilia huyu tunabishana nae yeye ni lumumba sasa ananisumbua saana jaman embu nipeni ukweli maana kila napopita ananisumbua na mimi nimuhamasishaji wa Chama Sasa hadi watu wanasubir niwape matokeo yake.. Naomba msaada kama unayafahamWewe ni Lumumba au CHADEMA ASILIA?
Acha matusi najua wewe LUMUMBA buku sabaa tokaaSio div four alipata zero...
Tuanzie kwako wewe, una kiwango gani cha elimu?Habari za asubuh ndugu zangu kunakitu tunabishana na mtu hapa yeye anasema eti mwenyekiti wangu mbowe alipata four alipokuwa form six ila mimi nimempinga Kwan mwenyekiti wangu hauwezi kupata hizo namwambia walau angesema alipata two.. Sasa nimeamua kuwauliza waliokaribu nae ivi alipata daraja (division) ipi form six.. Naomba msaada maana hapa leo nimebanwa niwape matokeo yake..
Ndio ivo.. Kama unayafaham naomba ndugu Sina amani hapaaTatizo letu tunadhani uongozi ni lazima uwe na wingi wa madigrii.
Mimi ni form four felia ila nimejitolea kukiinua chama.. Naomba Sasa matokeo yake ndugu nimebanwaTuanzie kwako wewe, una kiwango gani cha elimu?
Sawa nashkuru kwa matusi yakooMume amekupatia chakula cha usiku Leo hii au umelala doro?
Maswali ya nye-gezi mshindo haya
Hawa vibaka wa chakubanga ni wapumbavu sana.Tatizo letu tunadhani uongozi ni lazima uwe na wingi wa madigrii.
Baba yako alipata ngapi?Habari za asubuh ndugu zangu kunakitu tunabishana na mtu hapa yeye anasema eti mwenyekiti wangu mbowe alipata four alipokuwa form six ila mimi nimempinga Kwan mwenyekiti wangu hauwezi kupata hizo namwambia walau angesema alipata two.. Sasa nimeamua kuwauliza waliokaribu nae ivi alipata daraja (division) ipi form six.. Naomba msaada maana hapa leo nimebanwa niwape matokeo yake..
Matokeo please naomba kama unayafahamHawa vibaka wa chakubanga ni wapumbavu sana.View attachment 1276789
Kamuulize bosi wako Chakubanga.Matokeo please naomba kama unayafaham
Unadhani hiyo four au two inasaidia nini ktk maisha ya mtaani? Watu kibao walikuwa vichwa darasani sasa hivi choka mbaya.Habari za asubuh ndugu zangu kunakitu tunabishana na mtu hapa yeye anasema eti mwenyekiti wangu mbowe alipata four alipokuwa form six ila mimi nimempinga Kwan mwenyekiti wangu hauwezi kupata hizo namwambia walau angesema alipata two.. Sasa nimeamua kuwauliza waliokaribu nae ivi alipata daraja (division) ipi form six.. Naomba msaada maana hapa leo nimebanwa niwape matokeo yake..
Ndugu yangu simfahamKamuulize bosi wako Chakubanga.
Sio div four alipata zero...