Northern empire
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 358
- 459
- Thread starter
- #21
Nashkuru ndugu ila sijaona kidato cha Sita matokeo yake naomba kama unayafaham.. Hiyo ni kama CVHon. Freeman Mbowe chairman
GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Freeman...www.jamiiforums.com
Tundu Lissu asema kuwa Mbowe hana shahada ya chuo kikuu
Katika mkutano wa chadema wa M4C pamoja daima uliofanyika tarehe 27 january 2014 ktk viwanja vya barafu jamhuri Dodoma mjini, Tundu Lissu alisema Yafuatayo "Ni kweli kuwa mwenyekiti wetu Mbowe hana shahada ya chuo kikuu lakini hiyo sio sababu ya kumnyima uongoz". alisema Lissu juu ya...www.jamiiforums.com
Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!
WanaJF, Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote. Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri! Katika hali kama hiyo, baada...www.jamiiforums.com