Jaman naomba kujuzwa jambo juu ya mwenyekiti wetu mbowe

Northern empire

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
344
500
Habari za asubuh ndugu zangu kunakitu tunabishana na mtu hapa yeye anasema eti mwenyekiti wangu mbowe alipata four alipokuwa form six ila mimi nimempinga Kwan mwenyekiti wangu hauwezi kupata hizo namwambia walau angesema alipata two.. Sasa nimeamua kuwauliza waliokaribu nae ivi alipata daraja (division) ipi form six.. Naomba msaada maana hapa leo nimebanwa niwape matokeo yake..
 
bullar

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
6,635
2,000
Asubuh hii mme amka kubishana hamna kazi za kufanya?
Habari za asubuh ndugu zangu kunakitu tunabishana na mtu hapa yeye anasema eti mwenyekiti wangu mbowe alipata four alipokuwa form six ila mimi nimempinga Kwan mwenyekiti wangu hauwezi kupata hizo namwambia walau angesema alipata two.. Sasa nimeamua kuwauliza waliokaribu nae ivi alipata daraja (division) ipi form six.. Naomba msaada maana hapa leo nimebanwa niwape matokeo yake..
 
Northern empire

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
344
500
Wewe ni Lumumba au CHADEMA ASILIA?
Mi CHADEMA asilia huyu tunabishana nae yeye ni lumumba sasa ananisumbua saana jaman embu nipeni ukweli maana kila napopita ananisumbua na mimi nimuhamasishaji wa Chama Sasa hadi watu wanasubir niwape matokeo yake.. Naomba msaada kama unayafaham
 
UNKNOW DEVIL HIMSELF

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
25,396
2,000
Habari za asubuh ndugu zangu kunakitu tunabishana na mtu hapa yeye anasema eti mwenyekiti wangu mbowe alipata four alipokuwa form six ila mimi nimempinga Kwan mwenyekiti wangu hauwezi kupata hizo namwambia walau angesema alipata two.. Sasa nimeamua kuwauliza waliokaribu nae ivi alipata daraja (division) ipi form six.. Naomba msaada maana hapa leo nimebanwa niwape matokeo yake..
Tuanzie kwako wewe, una kiwango gani cha elimu?
 
UNKNOW DEVIL HIMSELF

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
25,396
2,000
Tatizo letu tunadhani uongozi ni lazima uwe na wingi wa madigrii.
Hawa vibaka wa chakubanga ni wapumbavu sana.
IMG-20191117-WA0001.jpeg
 
Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,756
2,000
Habari za asubuh ndugu zangu kunakitu tunabishana na mtu hapa yeye anasema eti mwenyekiti wangu mbowe alipata four alipokuwa form six ila mimi nimempinga Kwan mwenyekiti wangu hauwezi kupata hizo namwambia walau angesema alipata two.. Sasa nimeamua kuwauliza waliokaribu nae ivi alipata daraja (division) ipi form six.. Naomba msaada maana hapa leo nimebanwa niwape matokeo yake..
Baba yako alipata ngapi?
 
mbongopopo

JF-Expert Member
Jan 24, 2008
1,606
2,000
 
kinjumbi one

JF-Expert Member
May 27, 2015
1,681
2,000
Habari za asubuh ndugu zangu kunakitu tunabishana na mtu hapa yeye anasema eti mwenyekiti wangu mbowe alipata four alipokuwa form six ila mimi nimempinga Kwan mwenyekiti wangu hauwezi kupata hizo namwambia walau angesema alipata two.. Sasa nimeamua kuwauliza waliokaribu nae ivi alipata daraja (division) ipi form six.. Naomba msaada maana hapa leo nimebanwa niwape matokeo yake..
Unadhani hiyo four au two inasaidia nini ktk maisha ya mtaani? Watu kibao walikuwa vichwa darasani sasa hivi choka mbaya.
 
Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,628
2,000
Sio div four alipata zero...

Bill Gates hana hata equivalent ya hicho cheti cha form IV (I hope mlishawahi kulisikia hilo jina na angalau linamaanisha nini).

Mlishawahi kusikia brand inaitwa Protea Cottages? Ni worldwide brand - Mbowe mwenye division zero ya form six ya Tanzania ni franchisee wa Protea.

Nendeni Lumumba mkajikusanye wooote kabisa muombe msaada wa kueleweshwa nilichokiandika hapa maana nina uhakika 110% kuwa 99.9% ya ccm yote hii ya jiwe hamtaambulia chochote hapo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom