Tundu Lissu asema kuwa Mbowe hana shahada ya chuo kikuu

Status
Not open for further replies.

changu ni changu

Senior Member
Dec 21, 2013
111
28
Katika mkutano wa chadema wa M4C pamoja daima uliofanyika tarehe 27 january 2014 ktk viwanja vya barafu jamhuri Dodoma mjini, Tundu Lissu alisema Yafuatayo

"Ni kweli kuwa mwenyekiti wetu Mbowe hana shahada ya chuo kikuu lakini hiyo sio sababu ya kumnyima uongoz".

alisema Lissu juu ya elimu ya Mbowe.
 
Teh teh teh! CHADEMA bana juzi mlikuwa mnalalamika kuwa Waziri wa Fedha, elimu yake ni ndogo hafai kuwa Waziri.

Leo hii Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe hana elimu lakini tunaambiwa kukosa kwake elimu siyo sababu ya kunyimwa uongozi.

Mbowe ndiyo anategemewa kuwa Waziri Mkuu CHADEMA wakitwaa dola.

Tanzania itaingia kwenye rekodi za dunia kuwa na Waziri Mkuu kilaza.
 
Peleka udaku wako Lumumba.

Eti uchafu huu ulioleta Jioni unasubiri malipo ya buku saba
 
Teh teh teh! Chadema bana juzi mlikuwa mnalalamika kuwa Waziri wa Fedha, elimu yake ni ndogo hafai kuwa Waziri.

Leo hii Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe hana elimu lakini tunaambiwa kukosa kwake elimu siyo sababu ya kunyimwa uongozi.

Mbowe ndiyo anategemewa kuwa Waziri Mkuu Chadema wakitwaa dola.

Tanzania itaingia kwenye rekodi za dunia kuwa na Waziri Mkuu kilaza.

Teh teh teh Ritz umenichekesha sana Waziri Mkuu kilaza duh!
 
Katika mkutano wa chadema wa M4C pamoja daima ulifanyika tarehe 27 january 2014 ktk viwanja vya barafu jamhuri Dodoma mjini, Tundu Tissu alisema Yafuatayo
"Ni kweli kuwa mwenyekiti wetu Mbowe hana shahada ya chuo kikuu lakini hiyo sio sababu ya kumnyima uongoz". alisema Lissu juu ya elimu ya Mbowe.

shahada ya chuo kikuu? mbona Lissu amekwenda mbali hivyo, anafikri akisema hivyo MBOWE atabebeka? MBOWE hana hata elimu ya kidato cha SITA.
 
Teh teh teh! Chadema bana juzi mlikuwa mnalalamika kuwa Waziri wa Fedha, elimu yake ni ndogo hafai kuwa Waziri.

Leo hii Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe hana elimu lakini tunaambiwa kukosa kwake elimu siyo sababu ya kunyimwa uongozi.

Mbowe ndiyo anategemewa kuwa Waziri Mkuu Chadema wakitwaa dola.

Tanzania itaingia kwenye rekodi za dunia kuwa na Waziri Mkuu kilaza.

Wewe Ritz acha Upoyoyo.
Ingawa ni kweli kabisa Elimu ya waziri wa fedha hamtoshelezi kubeba wadhifa wake.
Ni wapi CHADEMA wamemsakama waziri wa fedha juu ya Elimu yake.?
Mbona unakuwa mzushi hivyo.
Mtu aliyemnanga waziri hadharani ni Lipumba.
Hivi ikipita siku bila kuitaja CHADEMA haufiki mshindo kabisa wewe...
 
Last edited by a moderator:
na ndio maana mzee mtei alimchukuwa mtoto wake aliona ananyanyasika na mtu ambaye hajaenda shule
 
Katika mkutano wa chadema wa M4C pamoja daima ulifanyika tarehe 27 january 2014 ktk viwanja vya barafu jamhuri Dodoma mjini, Tundu Tissu alisema Yafuatayo
"Ni kweli kuwa mwenyekiti wetu Mbowe hana shahada ya chuo kikuu lakini hiyo sio sababu ya kumnyima uongoz". alisema Lissu juu ya elimu ya Mbowe.

Lissu siku zake zinahesabika Chadema!
 
Teh teh teh! Chadema bana juzi mlikuwa mnalalamika kuwa Waziri wa Fedha, elimu yake ni ndogo hafai kuwa Waziri.

Leo hii Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe hana elimu lakini tunaambiwa kukosa kwake elimu siyo sababu ya kunyimwa uongozi.

Mbowe ndiyo anategemewa kuwa Waziri Mkuu Chadema wakitwaa dola.

Tanzania itaingia kwenye rekodi za dunia kuwa na Waziri Mkuu kilaza.
uanaijua elimu ya ally hassan mwinyi wewe?ni hatari
 
Wewe Ritz acha Upoyoyo.
Ingawa ni kweli kabisa Elimu ya waziri wa fedha hamtoshelezi kubeba wadhifa wake.
Ni wapi CHADEMA wamemsakama waziri wa fedha juu ya Elimu yake.?
Mbona unakuwa mzushi hivyo.
Mtu aliyemnanga waziri hadharani ni Lipumba.
Hivi ikipita siku bila kuitaja CHADEMA haufiki mshindo kabisa wewe...

Kwahiyo siku Chadema ikishika dola kwa elimu aliyokuwa nayo inamtosheleza kuwa Waziri Mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom